Sijui nilikurupuka au nilikosa mtu wa kuniongoza na sasa sijui nifanyeje?

  • Thread starter Thread starter guest-1788672427
  • Start date Start date
  • Tags Tags
    mtu
Ukipata wasiwasi tena nshutue nikupe 5.5 zako hapo karibu Na zahanati, offer hii natoa siku Tano kuanzia Leo, utakuja inbox utaniachia namba mi ntakutafuta,

Nikurudishie Na Mimi nikajute , Niko serious, ,,Ila vimepimwa!?
 
Kumbe mimi ni jirani yako ingawa nina kiwanja kimoja 25X25, nimekinunua mwezi uliopita kwa million sita. Viwanja vinapanda bei sana maeneo hayo. Wewe fikiria ulinunua 620 kwa 5M na mimi nimeunua 625 kwa 6M.
 
Mbona umeshaelezea mkuu
 
Ni kama mita 17 kwa 30, ni vidogo japo umewekeza,next time relax na omba ushauri kwa consultants hata kuanzia watatu lakini usisahau kuchanganya na mawazo yako,Omba Mungu pia ukiwa na jambo lako kabla ya kulifanya
KImoja kuna sq merter 513 na kingine kina sq merter 620

Hiyo 17 kwa 30 sijaelewa maana yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…