Sijui niseme nini lakini Mungu alikuwa upande wetu jana.

Mwanamke unakuawaje mlevi hadi kinyaa yaani 🤣🤣🤣

Mkojo wa mwanamke mlevi ukinusa hadi hamu ya kuomba tamu unaisha😁😁
 
Yaani unashukuru kwa kuikosa michango yetu! Sijakuelewa naona pombe bado zimo kichwani mwako.
 
Huyu ndio yule Binti Kivuruge, bado hajaacha yale mambo yake, anazurura kwa lounges usiku kucha. Mwanamke mlevi hafai hata kidogo, she can't make a great wife, neither a good mother.
 
Usisahau kwenda hospitali kwa ajili ya check up, just to be sure haujaumia ndani kwa ndani.
 
Hii muhimu sana mkuu, jumapili lazima niende kanisani na sadaka ya shukrani
- Peleka sadaka kwa wenye uhitaji, mfano Hospitalini (wapo wagonjwa hawana ndugu halizao ni ngumu, wamekata taama ya kuishi, hawana msaada wowote hawa haswa ndio wanasathili sadaka) au vituo vya kulea watoto yatima.
 
Hakika mkuu nitafanya hivi
 
Nyie wote inabidi muende jela kwa kutaka kuua watu na kujiua.

Hili Jambo sio la kushukuru Mungu pekee,Blnali na wewe ujitafakari!

Mtu mwenye akili timamu unaendesha gari umelewa?

Huu si ujinga,kama nchi tubadilike,nyie hamtakiwi kuwa uraiani hadi muda huu!
 
Huyu ndio yule Binti Kivuruge, bado hajaacha yale mambo yake, anazurura kwa lounges usiku kucha. Mwanamke mlevi hafai hata kidogo, she can't make a great wife, neither a good mother.
Huo ni mtazamo wako mkuu, kiuhalisia haipo hivyo kabisa
 
🙄🙄yamekuwa hayo tena mkuu
 
Pole sana, dereva kibarua chake kipo mashakani kama ikigundulika alikuwa amelewa.
Gari ipo gereji inafanyiwa matengenezo leo, haraka iwezekanavyo maana kesho anaenda kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…