Sijui niseme nini lakini Mungu alikuwa upande wetu jana.

πŸ™„πŸ™„yamekuwa hayo tena mkuu
Mnajua kabisa sheria inazuia kuendesha ukiwa umelewa,ila nyie mkalewa,halafu mkaendesha,kwa kweli hapa sio kuua watu na kujiua bila,bali uharibifu wa Mali pia.

Hizo gari ingebidi zitaifishwe,na nyie kama ni wafanyakazi mishahara yenu 50% ikatwe kufanya marekebisho ya barabara,na wahanga wapatiwe hayo makato muda wa miaka 12 mfululizo.

Adhabu zikiwa kali,tutabadilika.
 
Acha pombe sasa, mungu ana sababu ya kukuacha hai...
 
Tumejifunza lakini siku nyingine hatutafanya hivyo
 
ndio makundi yenyewe usiwe mbishi binti badili mwenendo acha ulevi hautokusaidia chochote maishani wala sio sifa njema kwa mwanamke na mtu yoyote anaejitambua
Kwanzia leo nimeshaacha mkuu, sitafanya tena hizo mambo
 
niliokaa nao nyuma walikuwa wanamwambia aendelee kupaisha wamechoka kuishi hata wakifa basi,
Hayo ndiyo maombi yenu.

Katika kulikwepa gari dereva akapeleka gari mtaroni, hapa pongezi kwake dereva bila hivyo tulikuwa tunaenda kugonga fuso uso kwa uso.
Hapa mkajibiwa maombi yenu.

Hili ni jambo la kumshukuru Mungu sana sasa hivi sijui ningekuwa nimekufa
Unashukuru Mungu kwa kutotimiza maomvi yenu?

Mungu hadhihakiwi, utavuna unachopanda
 
Hapa naona umeshindwa kuelewa mkuu
 
Mnachezea maisha vijana huku misema R.I.P,hakuna hiyo kwa Uzembe!
 
Kwa taarifa Yako hii... Yule Dereva kakosa Kazi....!

Baada ya muda ataanza kwenda Kwa Waganga kusema atakua kalogwa sio Bure.
Watu wangu,waangamia kwa kukosa maarifa, wewe unajua unaenda kwenye pombe kwa Nini usitumie Bajaj au taxi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…