figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Tarehe 25 Aprili 2026, Mzanzibari Samia Suluhu Hassan alizindua Meli ya Uvuvi kwenye maji ya kina kirefu, hadi sasa sijaona Samaki waloletwa. Eti Uchumi wa Bluu.. Meli ilitengenezwa kwa zaidi ya Bilioni 25. Je, itazirudisha lini?
Leo ni siku 106 tangu izinduliwe. Hakuna samaki hata mmoja aloletwa Kivukoni Dar wala Magogoni.
Siku ya Uzinduzi Wananchi walikusanywa kama kumbikumbi na kulazimisha kushangilia na kupiga makofi na Miluzi.
Meli yenyewe ukitaka kujua ni Ulaghai, ilijazwa bendera Utafikiri inauza jezi za kombe la dunia.
Hii ndo dalili ya Serikali kushindwa. Uongozi wa Tanzania umeparalyse moja haikai mbili haikai.
Bila katiba mpya hakuna kitakachofanyika.
Na huyo alojipachika Urais, ataishia kuwa mgeni rasmi, kushuhudia utapeli kwenye kuweka jiwe la msingi, kukata utepe na zinduzi za uongo na ulaghai mikoa mbalimbali Tanganyika huku Zanzibar ikisonga mbele. Hakuna cha maana nategemea kutoka kwake
Awamu ya tano na ya sita walichifanikiwa ni Utekaji, mauaji, Wizi, ufisadi, Umwagaji damu na Ulaghai. Hakika watakumbukwa kwa mabaya.
29.10.2025 Tutaikumbuka daima