Siku 100 zimepita, Meli ya Uvuvi aliyoizindua Samia, Imeshindwa kuvua samaki hata mmoja

Siku 100 zimepita, Meli ya Uvuvi aliyoizindua Samia, Imeshindwa kuvua samaki hata mmoja

Anza kutumia jina halisi kama mimi ndo tuje tubishane
Unajificha kwenye jina bandia alafu unajiona mjanja
Kumbe unabishina, mimi nilidhani tunaeleweshana. Natumia I'd ninayotaka ili mradi sivunji sheria za jukwaa. Huenda hujui sheria za jukwaa. Pia tazama nimejiunga lini na ww umejiunga lini. Humu tunafuata sheria za jukwaa, na sio lazima kutumia jina halisi, hasa unapotumia jina halisi kwa lengo la kubishana badala ya kueleweshana. Na hata nikiamua kutumia jina langu halisi, sintalitumia kwa ajili ya kubishana kama ww.
 
Sibishanagi na mafisi a.k.a waoga nabishanaga na watu majasiri wasio ogopa
 
Kaka inaonekana uliweka oda ya samaki muda mrefu unasubiri wanakuambia bado meli haijashika.. Watakuua na njaa hawa
 
Wewe mpumbavu kwa kuwa unafanya kazi Lumumba basi unataka na wengine waweke majina kama wewe. Wanakulipa shilingi ngapi kwa kila posti!?
Angalia uzi zango zote zipo humu kwa hili jina alafu ndo utanjua mimi ni nani na msimamo wangu
Na nina account tiktok kwa hili jina langu kule ndo nimewekeza nguvu sana kaangalie content zangu alafu ujipime kama mimi ni chawa au la

Nchi haiwezi kombolewa na watu waliojificha kwenye majina bandia huu ni ukweli mchungu
Mfano watu wanataka kuunga mkono wanaanzaje kwa mtu uliyejificha nyuma ya jina bandia
 
Tarehe 25 Aprili 2026, Mzanzibari Samia Suluhu Hassan alizindua Meli ya Uvuvi kwenye maji ya kina kirefu, hadi sasa sijaona Samaki waloletwa. Eti Uchumi wa Bluu.. Meli ilitengenezwa kwa zaidi ya Bilioni 25. Je, itazirudisha lini?

Leo ni siku 106 tangu iinduliwe. Hakuna samaki hata mmoja aloletwa Kivukoni Dar. Au Magogoni.
View attachment 3646903
Siku ya Uzinduzi Wananchi walikusanywa kama kumbikumbi na kulazimisha kushangilia na kupiga makofi na Miluzi.
View attachment 3646902
Meli yenyewe ukitaka kujua ni Ulaghai, ilijazwa bendera Utafikiri inauza jezi za kombe la dunia.

Hii ndo dalili ya Serikali kushindwa. Uongozi wa Tanzania umeparalyse moja haikai mbili haikai.

Bila katiba mpya hakuna kitakachofanyika.
View attachment 3646904
Na huyo alojipachika Urais, ataishia kuwa mgeni rasmi, kushuhudia utapeli kwenye kuweka jiwe la msingi, kukata utepe na zinduzi za uongo na ulaghai mikoa mbalimbali Tanganyika huku Zanzibar ikisonga mbele. Hakuna cha maana nategemea kutoka kwake

Awamu ya tano na ya sita walichifanikiwa ni Utekaji, mauaji, Wizi, ufisadi, Umwagaji damu na Ulaghai. Hakika watakumbukwa kwa mabaya.

29.10.2025 Tutaikumbuka daima
kinachokusumbua wewe ni chuki na wala sio meli,kwani hujafanya utafiti wowote juu ya meli hiyo.Acha chuki haikusaidii kitu
 
Ningelikuwa na mamlaka ya uongozi,ningehakikisha nakuwa na meli za uvuvi bahari kuu 10,nikahakikisha navua samaki wa kutosha,nikauzia watanzania kwa 5000/- tu kwa kilo moja!, watanzania wakafaidi rasilimali zao kwa bei poa
#Vitoweo havikwepeki /
#Kuna trillion 3-5 hapa kwenye fishing tu.
 
Angalia uzi zango zote zipo humu kwa hili jina alafu ndo utanjua mimi ni nani na msimamo wangu
Na nina account tiktok kwa hili jina langu kule ndo nimewekeza nguvu sana kaangalie content zangu alafu ujipime kama mimi ni chawa au la

Nchi haiwezi kombolewa na watu waliojificha kwenye majina bandia huu ni ukweli mchungu
Mfano watu wanataka kuunga mkono wanaanzaje kwa mtu uliyejificha nyuma ya jina bandia
Jina bandia!? Acha upumbavu wako. Ukiandika jina lako ndio unakuwa na maana sana au!? Kuna makosa ya kutumia hicho unachokiita jina bandia hapa JF!?
 
Unajificha kwenye jina bandia alafu unajiona mjanja wewe ni fisi, mwoga na usiyejiamini
Lazima mimi niwe muoga. Mimi sio mfanyakazi huko ofisini kwenu Lumumba. Polepole alijiamini mpaka akaamua kurudi nyumbani hata wewe unajua kilichompata. Huo uhuru mnao ninyi walamba makalio ya wanaowalisha. Mimi Uhuru huo sina. Endelea na upumbavu wako.
 
Kila aliyekinyume na wewe yupo lumumba unasafari ndefu sana ya kifikra sijawahi kuwa ccm na huko lumumba sipajui napasikiaga tu

Angalia nyuzi zangu zipo tele uone kama zinauhusiano na unachoropoka
 
Back
Top Bottom