Siku 100 zimepita, Meli ya Uvuvi aliyoizindua Samia, Imeshindwa kuvua samaki hata mmoja

Moja haikai na mbili haikai😀😀😀

Waja mna maneno
 
Tarehe 25 Aprili 2026, Mzanzibari Samia Suluhu Hassan alizindua Meli ya Uvuvi kwenye maji ya kina kirefu, hadi sasa sijaona Samaki waloletwa. Eti Uchumi wa Bluu.. Meli ilitengenezwa kwa zaidi ya Bilioni 25. Je, itazirudisha lini?

Leo ni siku 106 tangu iinduliwe. Hakuna samaki hata mmoja aloletwa Kivukoni Dar. Au Magogoni.
View attachment 3646903
Siku ya Uzinduzi Wananchi walikusanywa kama kumbikumbi na kulazimisha kushangilia na kupiga makofi na Miluzi.
View attachment 3646902
Meli yenyewe ukitaka kujua ni Ulaghai, ilijazwa bendera Utafikiri inauza jezi za kombe la dunia.

Hii ndo dalili ya Serikali kushindwa. Uongozi wa Tanzania umeparalyse moja haikai mbili haikai.

Bila katiba mpya hakuna kitakachofanyika.
View attachment 3646904
Na huyo alojipachika Urais, ataishia kuwa mgeni rasmi, kushuhudia utapeli kwenye kuweka jiwe la msingi, kukata utepe na zinduzi za uongo na ulaghai mikoa mbalimbali Tanganyika huku Zanzibar ikisonga mbele. Hakuna cha maana nategemea kutoka kwake

Awamu ya tano na ya sita walichifanikiwa ni Utekaji, mauaji, Wizi, ufisadi, Umwagaji damu na Ulaghai. Hakika watakumbukwa kwa mabaya.

29.10.2025 Tutaikumbuka daima
Maccm ni mabingwa wa vitu feki. Hata hilo limeli ni feki alimradi tu kuwaibia watanzania.. wallahi siku tukiikomboa nchi yetu, firing squad inamhusu huyo chura kiziwi
 
mwenzako ashachukua hisa Bank M

Endleee kulala sebuni kwa shemj akusolombe kama dada yako

Faken- gasho
Massawe katika moja na mbili kujitafutia maisha!
Screenshot_20260616-171056~2.png
 
Mimi kusema ni sahii na sawa kwa nchi kuwa na crude oil refinery ni kosa na unaniweka kundi moja na machawa sikujua wewe ni mjinga hivi
Mkuu ww ni chawa tu, ila bado hujafikia level ya kutokuona aibu. Ww una kaaibu kwa mbaaaaaali?
 
Huyu mama ana gundu lililoshindikana
Nenda kamuogeshe maji ya bahari kuu.

Ila ujue mwenzako amefanikiwa kupata privileges zote za duniani ambazo wewe hadi unakufa huenda hautazipata au hata kuzifikia.
 
Meli Ya Uvuvi Imeshindwa Hata Kuvua Dagaa Mchele
Jamaa Wanashinda Nayo Wapi
 
Tarehe 25 Aprili 2026, Mzanzibari Samia Suluhu Hassan alizindua Meli ya Uvuvi kwenye maji ya kina kirefu, hadi sasa sijaona Samaki waloletwa. Eti Uchumi wa Bluu.. Meli ilitengenezwa kwa zaidi ya Bilioni 25. Je, itazirudisha lini?

Leo ni siku 106 tangu iinduliwe. Hakuna samaki hata mmoja aloletwa Kivukoni Dar. Au Magogoni.
View attachment 3646903
Siku ya Uzinduzi Wananchi walikusanywa kama kumbikumbi na kulazimisha kushangilia na kupiga makofi na Miluzi.
View attachment 3646902
Meli yenyewe ukitaka kujua ni Ulaghai, ilijazwa bendera Utafikiri inauza jezi za kombe la dunia.

Hii ndo dalili ya Serikali kushindwa. Uongozi wa Tanzania umeparalyse moja haikai mbili haikai.

Bila katiba mpya hakuna kitakachofanyika.
View attachment 3646904
Na huyo alojipachika Urais, ataishia kuwa mgeni rasmi, kushuhudia utapeli kwenye kuweka jiwe la msingi, kukata utepe na zinduzi za uongo na ulaghai mikoa mbalimbali Tanganyika huku Zanzibar ikisonga mbele. Hakuna cha maana nategemea kutoka kwake

Awamu ya tano na ya sita walichifanikiwa ni Utekaji, mauaji, Wizi, ufisadi, Umwagaji damu na Ulaghai. Hakika watakumbukwa kwa mabaya.

29.10.2025 Tutaikumbuka daima
Ndugu acha kuzua taharuki hujui kuwa kufungwa kwa mlango wa bahari wa Hormuz na Iran ndio sababu?
 
Meli yenyewe ukitaka kujua ni Ulaghai, ilijazwa bendera Utafikiri inauza jezi za kombe la dunia.😂😂😂
 
Nenda kamuogeshe maji ya bahari kuu.

Ila ujue mwenzako amefanikiwa kupata privileges zote za duniani ambazo wewe hadi unakufa huenda hautazipata au hata kuzifikia.
..halafu ataishia wapi na hizo privilege..? Bora mwisho mwema kuliko mwanzo mwema!
 
Nenda kamuogeshe maji ya bahari kuu.

Ila ujue mwenzako amefanikiwa kupata privileges zote za duniani ambazo wewe hadi unakufa huenda hautazipata au hata kuzifikia.
Itasaidia nini kupata privileges zote za duniani wakati huna amani moyoni. Huyo hippopotumus anajifaragua tu lakini una ona kabisa ana guilty moyoni na hiyo ndo itakayompeleka ahera mapema. wewe subiri uone
 
Tarehe 25 Aprili 2026, Mzanzibari Samia Suluhu Hassan alizindua Meli ya Uvuvi kwenye maji ya kina kirefu, hadi sasa sijaona Samaki waloletwa. Eti Uchumi wa Bluu.. Meli ilitengenezwa kwa zaidi ya Bilioni 25. Je, itazirudisha lini?

Leo ni siku 106 tangu iinduliwe. Hakuna samaki hata mmoja aloletwa Kivukoni Dar. Au Magogoni.
View attachment 3646903
Siku ya Uzinduzi Wananchi walikusanywa kama kumbikumbi na kulazimisha kushangilia na kupiga makofi na Miluzi.
View attachment 3646902
Meli yenyewe ukitaka kujua ni Ulaghai, ilijazwa bendera Utafikiri inauza jezi za kombe la dunia.

Hii ndo dalili ya Serikali kushindwa. Uongozi wa Tanzania umeparalyse moja haikai mbili haikai.

Bila katiba mpya hakuna kitakachofanyika.
View attachment 3646904
Na huyo alojipachika Urais, ataishia kuwa mgeni rasmi, kushuhudia utapeli kwenye kuweka jiwe la msingi, kukata utepe na zinduzi za uongo na ulaghai mikoa mbalimbali Tanganyika huku Zanzibar ikisonga mbele. Hakuna cha maana nategemea kutoka kwake

Awamu ya tano na ya sita walichifanikiwa ni Utekaji, mauaji, Wizi, ufisadi, Umwagaji damu na Ulaghai. Hakika watakumbukwa kwa mabaya.

29.10.2025 Tutaikumbuka daima
We ni ..... nikuulize kitu sipingi katiba mpya ila hiyo katiba mpya ndio itaenda kuvua samaki? Mmechengeshwa akili kuamini katiba mpya ndio itabadilisha maisha yenu. Ok nikuulize nipe specific reason ya katiba mpya with supportive constitution provisions.
 
Back
Top Bottom