Siku 100 zimepita, Meli ya Uvuvi aliyoizindua Samia, Imeshindwa kuvua samaki hata mmoja

Siku 100 zimepita, Meli ya Uvuvi aliyoizindua Samia, Imeshindwa kuvua samaki hata mmoja

Kilichofanya nigundue ni Utapeli, siku ya uzinduzi, meli ilining'inizwa samaki wakubwa waliovuliwa na meli nyingine ya Wachina... Meli ndo inazinduliwa na inaenda kivua samaki, lakini ndani tayari samaki wananing'inia.. Kama si wizi ni nini? Eti watu waamini itavua samaki kama hao🤣🤣🤣

Ajabu hadi leo haijavua samaki hadi mmojašŸ˜‚
View attachment 3646918
Kwa nn watu hupenda kumdanganya mwezao
 
Kilichofanya nigundue ni Utapeli, siku ya uzinduzi, meli ilining'inizwa samaki wakubwa waliovuliwa na meli nyingine ya Wachina... Meli ndo inazinduliwa na inaenda kivua samaki, lakini ndani tayari samaki wananing'inia.. Kama si wizi ni nini? Eti watu waamini itavua samaki kama hao🤣🤣🤣

Ajabu hadi leo haijavua samaki hadi mmojašŸ˜‚
View attachment 3646918
Na usishangae hao samaki n toys, mana huwez kuning'iniza samaki hvy muda mrefu na wasiharibike.
 
Kwanza meli yenyewe inafanya kazi? Usikute lilikuwa boksi tuu šŸ˜‚
 
Mkuu ww ni chawa tu, ila bado hujafikia level ya kutokuona aibu. Ww una kaaibu kwa mbaaaaaali?
Wewe ni mjinga sana juzi umeshindwa kujibu hoja umeishia kuniita chawa
Endelea kuniita chawa labda ndo furaha ya moyo wako
 
We ni ..... nikuulize kitu sipingi katiba mpya ila hiyo katiba mpya ndio itaenda kuvua samaki? Mmechengeshwa akili kuamini katiba mpya ndio itabadilisha maisha yenu. Ok nikuulize nipe specific reason ya katiba mpya with supportive constitution provisions.
Screenshot_20260810_070252_Chrome.jpg
 
Wewe ni mjinga sana juzi umeshindwa kujibu hoja umeishia kuniita chawa
Endelea kuniita chawa labda ndo furaha ya moyo wako
Juzi hakukuwa na mashindano ama mtihani wa kujibu hoja, huenda ulikuwa na marking scheme yako ambayo majibu niliyotoa hayakuwiana nayo. Unakwama wapi chawa mwenye soni?
 
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ hii ni comedy!

Lakini on a serious note, kwanini Rais azindue meli ya uvivu ? Tuacheni vituko jamani.
 
Meli ilitengenezwa kwa zaidi ya Bilioni 25.
Project kubwa ilikuwa ni hii 25Bil,
Kwamba itavua au haitavua haiwahusu as far as wao washagawana 10%+ yao.

Hiyo ndo philosophy kubwa ya miradi mingi inayoanzishwa na watendaji wengi wakishirikiana wanasiasa wengi!
 
Tarehe 25 Aprili 2026, Mzanzibari Samia Suluhu Hassan alizindua Meli ya Uvuvi kwenye maji ya kina kirefu, hadi sasa sijaona Samaki waloletwa. Eti Uchumi wa Bluu.. Meli ilitengenezwa kwa zaidi ya Bilioni 25. Je, itazirudisha lini?

Leo ni siku 106 tangu iinduliwe. Hakuna samaki hata mmoja aloletwa Kivukoni Dar. Au Magogoni.
View attachment 3646903
Siku ya Uzinduzi Wananchi walikusanywa kama kumbikumbi na kulazimisha kushangilia na kupiga makofi na Miluzi.
View attachment 3646902
Meli yenyewe ukitaka kujua ni Ulaghai, ilijazwa bendera Utafikiri inauza jezi za kombe la dunia.

Hii ndo dalili ya Serikali kushindwa. Uongozi wa Tanzania umeparalyse moja haikai mbili haikai.

Bila katiba mpya hakuna kitakachofanyika.
View attachment 3646904
Na huyo alojipachika Urais, ataishia kuwa mgeni rasmi, kushuhudia utapeli kwenye kuweka jiwe la msingi, kukata utepe na zinduzi za uongo na ulaghai mikoa mbalimbali Tanganyika huku Zanzibar ikisonga mbele. Hakuna cha maana nategemea kutoka kwake

Awamu ya tano na ya sita walichifanikiwa ni Utekaji, mauaji, Wizi, ufisadi, Umwagaji damu na Ulaghai. Hakika watakumbukwa kwa mabaya.

29.10.2025 Tutaikumbuka daima
ChoiceVariable njoo na data hawa wahuni kila jambo wanafanya siasa.
 
Ukimchukia mtu uache pia uongo.

Eti Hata mojašŸ˜‚šŸ˜‚

ila Ukiwa chadema kinyesi kinakua kwenye ubongo
Hivi massawe..

Unapata faida gani kumtetea incompetent leader kama Samia?

Samia amefanya jambo gani kwa ajili ya Tanzania tangu aingie madarakani, ukiondoa wizi na kuuwa watu?

Naonaga wewe una akili kuliko kina Mwashamba na Tlaa...
 
makasiriko na mihemko yote hiyo useless kwenye mijadala ya nini gentleman?

na chadema imetajwa wapi hapo kwa mfano kwenye porojo na upotoshaji huo mezani? :pedroP:
Chadema ndiyo inafanya ulipwe buku7, acha kujitoa akili.
 
Hivi massawe..

Unapata faida gani kumtetea incompetent leader kama Samia?

Samia amefanya jambo gani kwa ajili ya Tanzania tangu aingie madarakani, ukiondoa wizi na kuuwa watu?

Naonaga wewe una akili kuliko kina Mwashamba na Tlaa...
Tukubaliane ajafanya kitu mkuu.

Akili yako itakusaidia nini kama utajiongopea ajafanya lolote?

Ajira nazo mmesahau sio?

Hata hivyo kila mtu ana kipimo cha kumdadavua Rais .

Ukiona mtu anampongeza mtu mkuu ni haki yake.
 
Juzi hakukuwa na mashindano ama mtihani wa kujibu hoja, huenda ulikuwa na marking scheme yako ambayo majibu niliyotoa hayakuwiana nayo. Unakwama wapi chawa mwenye soni?
Anza kutumia jina halisi kama mimi ndo tuje tubishane
Unajificha kwenye jina bandia alafu unajiona mjanja
 
Back
Top Bottom