figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Tarehe 25 Aprili 2026, Mzanzibari Samia Suluhu Hassan alizindua Meli ya Uvuvi kwenye maji ya kina kirefu, hadi sasa sijaona Samaki waloletwa. Eti Uchumi wa Bluu..
Leo ni siku 106 tangu iinduliwe. Hakuna samaki hata mmoja aloletwa Kivukoni Dar. Au Magogoni.
View attachment 3646903
Siku ya Uzinduzi Wananchi walikusanywa kama kumbikumbi na kulazimisha kushangilia na kupiga makofi na Miluzi.
View attachment 3646902
Meli yenyewe ukitaka kujua ni Ulaghai, ilijazwa bendera Utafikiri inauza jezi za kombe la dunia.
Ajabu hadi leo ni mapambo tu.
Hii ndo dalili ya Serikali kushindwa. Uongozi wa Tanzania umeparalyse moja haikai mbili haikai.
Bila katiba mpya hakuna kitakachofanyika.
View attachment 3646904
Na huyo alojipachika Urais, attaishia kuwa mgeni rasmi na kushuhudia utapeli kwenye kuweka jiwe la msingi na zinduzi za uongo mikoa mbalimbali Tanganyika huku Zanzibar ikisonga mbele.
Awamu ya tano na ya sita walichifanikiwa ni Utekaji, mauaji, Wizi, ufisadi, Umwagaji damu na Ulaghai. Hakika is watakumbukwa daima.
29.10.2025 Tutaikumbuka daima
hizi ni porojo za kuposha na kuwafariji wafuata mkumbo wenzako gentlemanTarehe 25 Aprili 2026, Mzanzibari Samia Suluhu Hassan alizindua Meli ya Uvuvi kwenye maji ya kina kirefu, hadi sasa sijaona Samaki waloletwa. Eti Uchumi wa Bluu..
Leo ni siku 106 tangu iinduliwe. Hakuna samaki hata mmoja aloletwa Kivukoni Dar. Au Magogoni.
View attachment 3646903
Siku ya Uzinduzi Wananchi walikusanywa kama kumbikumbi na kulazimisha kushangilia na kupiga makofi na Miluzi.
View attachment 3646902
Meli yenyewe ukitaka kujua ni Ulaghai, ilijazwa bendera Utafikiri inauza jezi za kombe la dunia.
Ajabu hadi leo ni mapambo tu.
Hii ndo dalili ya Serikali kushindwa. Uongozi wa Tanzania umeparalyse moja haikai mbili haikai.
Bila katiba mpya hakuna kitakachofanyika.
View attachment 3646904
Na huyo alojipachika Urais, attaishia kuwa mgeni rasmi na kushuhudia utapeli kwenye kuweka jiwe la msingi na zinduzi za uongo mikoa mbalimbali Tanganyika huku Zanzibar ikisonga mbele.
Awamu ya tano na ya sita walichifanikiwa ni Utekaji, mauaji, Wizi, ufisadi, Umwagaji damu na Ulaghai. Hakika is watakumbukwa daima.
29.10.2025 Tutaikumbuka daima
Tusubiri wataleta taarifa ya ufanisi wake huko bahari kuu yaani imeishavua tani ngapi za samaki😀😀😀😀😀Kilichofanya nigundue ni Utapeli, siku ya uzinduzi, meli ilining'inizwa samaki wakubwa waliovuliwa na meli nyingine ya Wachina... Meli ndo inazinduliwa na inaenda kivua samaki, lakini ndani tayari samaki wananing'inia.. Kama si wizi ni nini? Eti watu waamini itavua samaki kama hao🤣🤣🤣
View attachment 3646918
Massawe mwenyewe sasa!Ukimchukia mtu uache pia uongo.
Eti Hata moja😂😂
ila Ukiwa chadema kinyesi kinakua kwenye ubongo
Hivi huwa unatumia nini kufikiri mwenzetu? Shushq thread ya kuiponda Chadema, hii comment tu hulipwi, am sure of this.hizi ni porojo za kuposha na kuwafariji wafuata mkumbo wenzako gentleman
mwenzako ashachukua hisa Bank MMassawe mwenyewe sasa!
View attachment 3646944
makasiriko na mihemko yote hiyo useless kwenye mijadala ya nini gentleman?Hivi huwa unatumia nini kufikiri mwenzetu? Shushq thread ya kuiponda Chadema, hii comment tu hulipwi, am sure of this.
Dah. 🤣🤣🤣🤣Kilichofanya nigundue ni Utapeli, siku ya uzinduzi, meli ilining'inizwa samaki wakubwa waliovuliwa na meli nyingine ya Wachina... Meli ndo inazinduliwa na inaenda kivua samaki, lakini ndani tayari samaki wananing'inia.. Kama si wizi ni nini? Eti watu waamini itavua samaki kama hao🤣🤣🤣
View attachment 3646918
It's factual! Unless you understand what is written you will not able to replay factMleta mada unaishi baharini kuchunga meli zinazoingia na kutoka?
Mimi naishi Kizimkazi na JambianiMleta mada unaishi baharini kuchunga meli zinazoingia na kutoka?
Ukiua watu wasio na hatia, Mungu naye anakupa kisogo. Kila ulifanyalo linageuka kuwa laanaTarehe 25 Aprili 2026, Mzanzibari Samia Suluhu Hassan alizindua Meli ya Uvuvi kwenye maji ya kina kirefu, hadi sasa sijaona Samaki waloletwa. Eti Uchumi wa Bluu.. Meli ilitengenezwa kwa zaidi ya Bilioni 25. Je, itazirudisha lini?
Leo ni siku 106 tangu iinduliwe. Hakuna samaki hata mmoja aloletwa Kivukoni Dar. Au Magogoni.
View attachment 3646903
Siku ya Uzinduzi Wananchi walikusanywa kama kumbikumbi na kulazimisha kushangilia na kupiga makofi na Miluzi.
View attachment 3646902
Meli yenyewe ukitaka kujua ni Ulaghai, ilijazwa bendera Utafikiri inauza jezi za kombe la dunia.
Ajabu hadi leo ni mapambo tu.
Hii ndo dalili ya Serikali kushindwa. Uongozi wa Tanzania umeparalyse moja haikai mbili haikai.
Bila katiba mpya hakuna kitakachofanyika.
View attachment 3646904
Na huyo alojipachika Urais, attaishia kuwa mgeni rasmi na kushuhudia utapeli kwenye kuweka jiwe la msingi na zinduzi za uongo mikoa mbalimbali Tanganyika huku Zanzibar ikisonga mbele.
Awamu ya tano na ya sita walichifanikiwa ni Utekaji, mauaji, Wizi, ufisadi, Umwagaji damu na Ulaghai. Hakika watakumbukwa daima.
29.10.2025 Tutaikumbuka daima