Siku 100 zimepita, Meli ya Uvuvi aliyoizindua Samia, Imeshindwa kuvua samaki hata mmoja

..kazi km hizi zinafanywa na sekta binafsi, ukiona uoumbavu wa aina hii eti serikali inanunua meli, sijui matrekta ya kulimia watu, sijui benki ya ushirika..hizo ni geresha, serikali chini ya Mwl. ilishajaribu yote hayo IKASHINDWA..SERIKALI HAIWEZI KUFANYA BIASHARA! sasa ukiona hawa wajinga wanarudia yaliyofanywa zamani yakafeli jua wako kwenye UTAKATISHAJI na kuweka vijiwe vya kutolea pesa za WIZI..halafu wanajiona wana akili nyingi, iko siku watoto wa waliofanya haya WATALIPIA!
Mama wa Namibia kaja hapa mara mbili, Namibia inafanya vzr sana maeneo 2 sekta ya mifugo na uvuvi..hawa wajinga sabb lengo lao wala si kuinua hizo sekta hakuna lolote liliongelewa kumuhusisha Mama Ndaitwah asikie hizo sekta zikoje hapa na pengine aone namna bora ya kutoa mchango ili sekta hizi zifanikiwe km ilivyo Namibia..! Meli za uvuvi Namibia zinamilikiwa na wawekezaji binafsi, hata ranchi zote ni wawekezaji binafsi..halafu hawa wajinga wa hapa wanajifanya hamnazo..eti serikali imiliki meli kuvua samaki..that's beyond foolishness!
 
 

Attachments

  • 1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 7
 

Attachments

  • 1000170151.png
    1.7 MB · Views: 8
makasiriko na mihemko yote hiyo useless kwenye mijadala ya nini gentleman?

na chadema imetajwa wapi hapo kwa mfano kwenye porojo na upotoshaji huo mezani?
Sijasema umetaja Chadema, nimesema shusha uzi wa kuiponda Chadema ndiyo utalipwa. Wala sina makasiriko, nyuzi zako za kijing na za Lucas Mwashambwa huwa ni burudani sana kwangu. Shusha uzi gentleman
 
Cc: Lucas Mwashambwa
 
Ukimchukia mtu uache pia uongo.

Eti Hata moja😂😂

ila Ukiwa chadema kinyesi kinakua kwenye ubongo
Haya ww unayempenda tuambie kile kivuko kilichopelekwa Mombasa kwa ukarabati na zikatoka 7.5b Kiko wapi. Yaani ukarabati ni ghali kuliko kivuko kipya!😭🤣
Dennis Robert Shughuru huenda ww unajua kivuko kilipo, ili tujue kaka ile MoU ya matapeli irafanikiwa.
 
mada ni meli ya uvuvi , umerukia panton.

Hivi mnatumiaga vinyeo kufirikiri au?

stori zenu za uongo za Meli ya uvuvi mnaumbuka mnahamisha mjadala🤣🤣
 
Huu hakika ulikuwa ni ulaghai
 
hao samaki ilikuwa ni bait sample, itavua mipapa na mituna iliyoshindikana
 
Mimi kusema ni sahii na sawa kwa nchi kuwa na crude oil refinery ni kosa na unaniweka kundi moja na machawa sikujua wewe ni mjinga hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…