Siku 100 zimepita, Meli ya Uvuvi aliyoizindua Samia, Imeshindwa kuvua samaki hata mmoja

Kwa nn watu hupenda kumdanganya mwezao
 
Na usishangae hao samaki n toys, mana huwez kuning'iniza samaki hvy muda mrefu na wasiharibike.
 
Kwanza meli yenyewe inafanya kazi? Usikute lilikuwa boksi tuu 😂
 
Mkuu ww ni chawa tu, ila bado hujafikia level ya kutokuona aibu. Ww una kaaibu kwa mbaaaaaali?
Wewe ni mjinga sana juzi umeshindwa kujibu hoja umeishia kuniita chawa
Endelea kuniita chawa labda ndo furaha ya moyo wako
 
Wewe ni mjinga sana juzi umeshindwa kujibu hoja umeishia kuniita chawa
Endelea kuniita chawa labda ndo furaha ya moyo wako
Juzi hakukuwa na mashindano ama mtihani wa kujibu hoja, huenda ulikuwa na marking scheme yako ambayo majibu niliyotoa hayakuwiana nayo. Unakwama wapi chawa mwenye soni?
 
😂😂😂 hii ni comedy!

Lakini on a serious note, kwanini Rais azindue meli ya uvivu ? Tuacheni vituko jamani.
 
Meli ilitengenezwa kwa zaidi ya Bilioni 25.
Project kubwa ilikuwa ni hii 25Bil,
Kwamba itavua au haitavua haiwahusu as far as wao washagawana 10%+ yao.

Hiyo ndo philosophy kubwa ya miradi mingi inayoanzishwa na watendaji wengi wakishirikiana wanasiasa wengi!
 
ChoiceVariable njoo na data hawa wahuni kila jambo wanafanya siasa.
 
Ukimchukia mtu uache pia uongo.

Eti Hata moja😂😂

ila Ukiwa chadema kinyesi kinakua kwenye ubongo
Hivi massawe..

Unapata faida gani kumtetea incompetent leader kama Samia?

Samia amefanya jambo gani kwa ajili ya Tanzania tangu aingie madarakani, ukiondoa wizi na kuuwa watu?

Naonaga wewe una akili kuliko kina Mwashamba na Tlaa...
 
makasiriko na mihemko yote hiyo useless kwenye mijadala ya nini gentleman?

na chadema imetajwa wapi hapo kwa mfano kwenye porojo na upotoshaji huo mezani?
Chadema ndiyo inafanya ulipwe buku7, acha kujitoa akili.
 
Hivi massawe..

Unapata faida gani kumtetea incompetent leader kama Samia?

Samia amefanya jambo gani kwa ajili ya Tanzania tangu aingie madarakani, ukiondoa wizi na kuuwa watu?

Naonaga wewe una akili kuliko kina Mwashamba na Tlaa...
Tukubaliane ajafanya kitu mkuu.

Akili yako itakusaidia nini kama utajiongopea ajafanya lolote?

Ajira nazo mmesahau sio?

Hata hivyo kila mtu ana kipimo cha kumdadavua Rais .

Ukiona mtu anampongeza mtu mkuu ni haki yake.
 
Sawa.
 
Juzi hakukuwa na mashindano ama mtihani wa kujibu hoja, huenda ulikuwa na marking scheme yako ambayo majibu niliyotoa hayakuwiana nayo. Unakwama wapi chawa mwenye soni?
Anza kutumia jina halisi kama mimi ndo tuje tubishane
Unajificha kwenye jina bandia alafu unajiona mjanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…