Siku Dkt. Bashiru, Prof. Kabudi au Balozi Polepole wakisimama dhidi ya CCM nitaogopa sana lakini Lissu, Lema na Mbowe hawana maajabu

Baba wa taifa mwalimu Nyerere alisema upinzani wa kweli wa hii nchi utatoka ndani ya CCM.

Ccm inawatu makini wengitu ambao wakiamua kuwa wazalendo wanaweza kufanya maajabu makubwa ya kimaendeleo katika nchi yetu.

Hawa wapinzani hawana uwezo wakuingoza nchi sababu wenyewe hawajiamini.

Kumbuka uchaguzi mkuu 2015 katika nafasi ya urais ndio utajua wapinzani hawajawa na uwezo wa kuongoza.
 
Wanasiasa wote wapo pale walipo kupigania maslahi yao kuwa amini ni kufanya makosa
 
Yote haya ni matunda aliyoyaanzisha Magufuri kwenye utawala wake hasa hasa kwa kupandikiza Chuki kwenye mfumo wa Vyama Vingi na mwisho wa yote Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 vililenga hayo mambo unayoyalalamikia.Sisi hayo mambo tulishayaona kitambo wakati nchi ikiongozwa na chama kimoja kabla ya 1995.Baada ya 1995 nchi ilipumua kwa kasi ya ajabu.
 
Magu is gone, turekebishe mapungufu yake,

But MAZURI mengi na maono aliyopenda yatimie ktk Nchi tuhakikishe YANATIMIA.

Mfano, Magufuli Alijitahidi kuwa mkali Kwa Wezi, saiz wanamcheka tu Majaliwa sababu Hana support Kutoka JUU.
 
baba wa taifa wa nyoooko
 
Mmmmh sio hao magwiji unao wasema, ukiona mwanaume yeyote ambaye hawezi kusimamia anachokiamini ujue hapo hamna kitu!.

Kikwetu mwanaume anajigeuza geuza kitandani lakini sio katika lile analoliamini!.
 
Ucsahau pia walihusika pakubwa ktk ile biashara haramu ya kununua wanasiasa malaya
Hakika umesema kweli. Hao ni wanamapinduzi wa kijamaa wa kweli. Wanabeba fikra na itikadi halisia ya ccm. Itakadi yenye kulinda na kutetea umma wa wananchi. Itikadi inayodai haki na usawa kwenye uchumi.
 
Hao pamoja na wengine wengi wanaungana ndani ya chama kuimarisha chama na kujenga serikali yenye nguvu.

Hawawezi fanana na walioamua kuwa wakimbizi na kwenda kuishi ughaibuni huku wakitaka madaraka Tanzania

Chama chetu Cha Mapinduzi chajenga nchi
Miaka 60 mnajenga nchi au njaa ? Hali mliyojenga ndiyo hii
Your browser is not able to display this video.
 
Iweje mtu akiogope kinyago chako mwenyewe ulichokichonga?
 
Mbona HUELEWEKI umeandika nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…