Siku Dkt. Bashiru, Prof. Kabudi au Balozi Polepole wakisimama dhidi ya CCM nitaogopa sana lakini Lissu, Lema na Mbowe hawana maajabu

Sukuma gang wapo, ni watu kaliba ya Bushiri, Ndungoi, Slow Slow, Kabundi na wengineo. Sukuma gang siyo kabila ni tabia. Kwani Saambaya au Ndungoi ni wasukuma? Lakini ni Sukuma gang members
Kabundi, kale ka jalalani?
Ha ha ha !
 
Kama CCM haitakoma kuwa mrengo wa kisiasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kujihusisha na upinzani ni kutwanga maji kwenye kinu.
 
Imeandikwa Mungu ndiye huwatoa watu jalalani na kuwaketisha juu pamoja na WAFALME,

So alikuwa anaquote BIBLIA.
Japo sikutaka maelezo mengi, mimi nimeuliza kabudi wakutoka jalalani au Kabudi mwingine?
 
Japo sikutaka maelezo mengi, mimi nimeuliza kabudi wakutoka jalalani au Kabudi mwingine?
Muulize atakujibu maana ni mtu mzima yule aweza jitetea😃😃😃😃

Anzisha thread atajibu Kwa I'd fake.
 
Hakuna kitu kama hicho, ni IMAGINATION tu.

Kuna kundi kubwa la wananchi Kwa maelfu wenye njaa ya HAKI, wanapambana kupata mkate Kutoka kundi dogo la wevi na waovu!!!!
Je wajua kuwa hata wewe ni Sukuma gang?
 
Muulize atakujibu maana ni mtu mzima yule aweza jitetea[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Lakini wewe ndiye umemtaja so siwezi muuliza yeye kwani sijui wewe wamaanisha Kabudi yupi ndiyo maana nikauliza, je ni yule aliyesema katoka jalalani?
 
Je wajua kuwa hata wewe ni Sukuma gang?
Hakuna kitu kama hicho na hakujawahi tokea kundi Hilo.

Wezi na waramba asali ndo waliform hicho kivuli Ili kutuibia pesa zetu wakituacha tukilumbana kuhusu mtu aliyekufa asoweza jibu chochote.

STUKA, you are fixed.
 
Lakini wewe ndiye umemtaja so siwezi muuliza yeye kwani sijui wewe wamaanisha Kabudi yupi ndiyo maana nikauliza, je ni yule aliyesema katoka jalalani?
Anzisha thread atakujibu, ni mtu mzima yule tena Professor!!!
 
Acha ujuaji wa kijinga, swali aliloulizwa Prof Assad ni kuwa je kuna pesa zimeibiwa, ambalo siyo swali halali kwa CAG kujibu
 
Yaani watu ambao kwenye siasa wanazidiwa uzoefu hata na Mdude waitetemeshe CCM ?

Hivi hizi akili huwa mnazitoa wapi nyinyi ?
 
Uko sahihi kabisa...
Hata hao upinzani kama wanataka watoboe sasa hivi wawachukue hao jamaa watatu watakua na wana chansi kubwa... vinginevyo upinzani ndio watapoteana zaidi na kwa sasa rais samia amewapa hawa wapinzani wa sasa jukwaa la kujielezea mapema ili wajimalize kabisa kwa kukosa hoja kuelekea 2025...
 
Acha ujuaji wa kijinga, swali aliloulizwa Prof Assad ni kuwa je kuna pesa zimeibiwa, ambalo siyo swali halali kwa CAG kujibu
Ninyi ni wepesi sana wa kusahau na ndio maana siasa za hoja haziwafai. Prof. Assad aliulizwa ni kweli hela hazionekani zilipo, akajibu sio kweli mheshimiwa.

Halafu unasema sio mahali pake ni Nani aliyezusha kwamba kuna hela hazikujulikana matumizi yake? Kama kweli alikuwa anaamini kwamba hizo hela hazijulikani alipo kama alivyoandika kwenye ripoti angesema pale
 
Mbn umewataja watuu walewale ambao hawna jipya? Ingekuwa bora ukawataja watu kama Heche,Sugu,mchungaji Msigwa,Mbowe, Tundu Lisu na wengine wanaojitambua kama hao ningekuona wewe ni mzalendo
 
UK
Wale chadema waliotuambia pesa ya kuendesha nchi wangeenda kuchukua ulaya sasahivi deni lingekua trillion 92×10

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Kwa mafirio yako ya kinadharia nadharia na ndoto za chuki zisizo na ukweli .
 
Bashiru ni mjanja sana anajua akifungua mdomo tu amaliwa kichwa; madhani anasubiri mda sahihi ila sio sasa
 
Huijui Siasa wewe.

Kama CDM walimnadi Lowasa na akapata kura nyingi .. hao nilio wataja hawana baya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…