Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

Hawa wastaarabu wanaokwambia direct, sina shida nao, nina shida na hawa wenye maringo, kula vya watu na kuanza kurukaruka. Hawa hata mwaka nitafukuzia tu hadi aingie kwenye mfumo
Safi sana mwanawake wakoneshe kenge hao
 
Mwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!!

Siku izi mwanaume akikutaka alaf ujampenda we mkubalie tu alaf siku ya pili muombe pesa! Tena pesa ya maana 😀 wanaume wengi awapendi kuombwa pesa. Kitendo cha kumuomba pesa tayari utakua umeshamfukuza mwanaume hatarudi tena!

Akijifanya kidume akituma pokea alaf baada ya siku moja muombe tena pesa. Safari hii muombe pesa nyingi zaidi na kama inawezekana muombe na vitu vingine kama nguo, simu, dhahabu na viatu! Hapa utakua umemaliza kazi uyo mwanaume harudi tena! Ataondoka mwenyewe kiroho safi kabisa tena ataondoka kwa kukimbia ata nyuma hatogeuka kuangalia 😂

''Humpendi, omba pesa na vitu vya thamani kadri unavoweza'' hii ndo sheria ya kuwakataa hawa viumbe! watoto wa mujini tunaita law of dissipation!
Umeongea ukweli mtupu nishakimbia sana tu mwisho Jana usiku.
 
Mshangazi katika ubora wako.
Wee ndugu yako Joannah kapotelea wapi mbona kwa simu hapatikan
Anatutishia nyau etii 😹😹
Sisi kizazi jeuri, mamba tunamtukana na mto tunavuka 🤣

Yupo itakuwa alipo network inazingua, mpigie kwa WhatsApp
 
Mwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!!

Siku izi mwanaume akikutaka alaf ujampenda we mkubalie tu alaf siku ya pili muombe pesa! Tena pesa ya maana 😀 wanaume wengi awapendi kuombwa pesa. Kitendo cha kumuomba pesa tayari utakua umeshamfukuza mwanaume hatarudi tena!

Akijifanya kidume akituma pokea alaf baada ya siku moja muombe tena pesa. Safari hii muombe pesa nyingi zaidi na kama inawezekana muombe na vitu vingine kama nguo, simu, dhahabu na viatu! Hapa utakua umemaliza kazi uyo mwanaume harudi tena! Ataondoka mwenyewe kiroho safi kabisa tena ataondoka kwa kukimbia ata nyuma hatogeuka kuangalia 😂

''Humpendi, omba pesa na vitu vya thamani kadri unavoweza'' hii ndo sheria ya kuwakataa hawa viumbe! watoto wa mujini tunaita law of dissipation!
Kabisa, tena tunakupa lipa namba kabisaa
 
Fanya tu kwa wanaume wasio na pesa..kuna sehemu utapewa kila kitu..halafu zamu yako ikifika utatatuliwa marinda..
 
Tena inabidi mtushukuru kwa hili mana hatuharibu saikolojia yenu kwa maneno kama sio type yangu na kuwatoa kasoro badala yake tunawapa motisha ya kwenda kutafuta pesa 😂
Motisha ya kutafuta pesa !?we umeshindaje kuzitafuta!? Wanawake bila wanaume hamtoboi maana wanaume ndo wamebeba kesho yenu hivyo kuweni na adabu muwaonapo wanaume ,kwanza misihongi demu akitaka anihongemimi kwani utamu anaoupata ndo naopata mimi
 
Back
Top Bottom