Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

Hawa wastaarabu wanaokwambia direct, sina shida nao, nina shida na hawa wenye maringo, kula vya watu na kuanza kurukaruka. Hawa hata mwaka nitafukuzia tu hadi aingie kwenye mfumo
Safi sana mwanawake wakoneshe kenge hao
 
Umeongea ukweli mtupu nishakimbia sana tu mwisho Jana usiku.
 
Mshangazi katika ubora wako.
Wee ndugu yako Joannah kapotelea wapi mbona kwa simu hapatikan
Anatutishia nyau etii 😹😹
Sisi kizazi jeuri, mamba tunamtukana na mto tunavuka 🀣

Yupo itakuwa alipo network inazingua, mpigie kwa WhatsApp
 
Kabisa, tena tunakupa lipa namba kabisaa
 
Fanya tu kwa wanaume wasio na pesa..kuna sehemu utapewa kila kitu..halafu zamu yako ikifika utatatuliwa marinda..
 
Tena inabidi mtushukuru kwa hili mana hatuharibu saikolojia yenu kwa maneno kama sio type yangu na kuwatoa kasoro badala yake tunawapa motisha ya kwenda kutafuta pesa πŸ˜‚
Motisha ya kutafuta pesa !?we umeshindaje kuzitafuta!? Wanawake bila wanaume hamtoboi maana wanaume ndo wamebeba kesho yenu hivyo kuweni na adabu muwaonapo wanaume ,kwanza misihongi demu akitaka anihongemimi kwani utamu anaoupata ndo naopata mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…