Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

Kuwa MAKINI SANA mdada, kuna wakina sisi wengine kunoa PANGA ni kazi yetu na tunaipenda,....so kula vitu vyetu kwa kujifanya mjanja, utaiponza SHINGO bure🚮🚮
 
Katika vitu mwanaume unatakiwa kuhakikisha unakufa huku binti zako ukiwaachia uchumi wa kutosha.
kwa bahati mbaya sana, hawawezi kujiendesha wala kuuendesha huo uchumi,....🥲🥲😥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…