Siku hizi hakuna raha, hakujulikani kama kumekucha wala mvuto wa viongozi....! Mambo yapo shagalabagala...!

Noel france

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
1,104
Reaction score
917
Wanajukwaa habari za siku...!

Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha.

Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu
Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ) , wabunge asilimia kubwa ya wananchi hakuna mwenye kutaka kujua wanafanya nini N.K

Kingine,wananchi wamepoteza upendo na mshikamano kama Taifa. Pia wananchi hawana Imani na serikali Yao pia hawana Imani na Jeshi la polisi.
Asanteni wote.
 
Wanajukwaa habari za siku...!

Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha.

Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu
Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ),wabunge asilimia kubwa ya wananchi hakuna mwenye kutaka kujua wanafanya nini N.K

Kingine,wananchi wamepoteza upendo walamshikamano kama Taifa. Pia wananchi hawana Imani na serikali Yao pia hawana Imani na Jeshi la polisi.
Asanteni wote.
Unategemea nini bila kukemewa, mawaziri wanaambiwa kila mtu ale Kwa urefu wa kamba yake, wananchi watakuwa na furaha nao?
 
Wanajukwaa habari za siku...!

Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha.

Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu
Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ),wabunge asilimia kubwa ya wananchi hakuna mwenye kutaka kujua wanafanya nini N.K

Kingine,wananchi wamepoteza upendo walamshikamano kama Taifa. Pia wananchi hawana Imani na serikali Yao pia hawana Imani na Jeshi la polisi.
Asanteni wote.
Nadhani wewe ndio akili yako iko shaghalabaghala.

Tunachapa Kazi hatuna muda wa kupima corona mapapai na mbuzi
 
Haya ni madhara ya kuwa na viongozi wasio na ridhaa ya umma. Na nina uhakika watu watazidi kupuuza viongozi kwani hawako tayari tena kushiriki kwenye chaguzi za kihuni. Hiki kitendo cha watu kupuuza box la kura, kitazidi kusababisha watu kudharau viongozi kwani hawako madarakani kwa ridhaa yao. Natabiri kutokea machafuko huko mbeleni ili kurekebisha huu uhuni wa kiutawala unaondelea hapa nchini.
 
Hakika kabisa mkuu
 
Wanajukwaa habari za siku...!

Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha.

Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu
Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ),wabunge asilimia kubwa ya wananchi hakuna mwenye kutaka kujua wanafanya nini N.K

Kingine,wananchi wamepoteza upendo walamshikamano kama Taifa. Pia wananchi hawana Imani na serikali Yao pia hawana Imani na Jeshi la polisi.
Asanteni wote.
Kwahiyo unapendekeza tuihame nchi?
 
Nadhani wewe ndio akili yako iko shaghalabaghala.

Tunachapa Kazi hatuna muda wa kupima corona mapapai na mbuzi

Screenshot_20211029-110122.png
 
Wanajukwaa habari za siku...!

Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha.

Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu
Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ),wabunge asilimia kubwa ya wananchi hakuna mwenye kutaka kujua wanafanya nini N.K

Kingine,wananchi wamepoteza upendo walamshikamano kama Taifa. Pia wananchi hawana Imani na serikali Yao pia hawana Imani na Jeshi la polisi.
Asanteni wote.
Ukiona Rais anaomba mawaziri wasilogane ujue nchi hiyo ni ya shetani
 
Wanajukwaa habari za siku...!

Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha.

Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu
Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ),wabunge asilimia kubwa ya wananchi hakuna mwenye kutaka kujua wanafanya nini N.K

Kingine,wananchi wamepoteza upendo walamshikamano kama Taifa. Pia wananchi hawana Imani na serikali Yao pia hawana Imani na Jeshi la polisi.
Asanteni wote.
Tanzania na wananchi wake ktk miaka 5 ya mwendazake walikosa raha na furaha.
Sasa nchi imefunguka na wananchi wamejawa na furaha na raha
 
Back
Top Bottom