Siku hizi hakuna raha, hakujulikani kama kumekucha wala mvuto wa viongozi....! Mambo yapo shagalabagala...!

Wanajukwaa habari za siku...!

Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha.

Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu
Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ),wabunge asilimia kubwa ya wananchi hakuna mwenye kutaka kujua wanafanya nini N.K

Kingine,wananchi wamepoteza upendo walamshikamano kama Taifa. Pia wananchi hawana Imani na serikali Yao pia hawana Imani na Jeshi la polisi.
Asanteni wote.
Kabsaa hainaa maana Tena,uzalendo umepotea kabsaa ndani mdaa mfupi kabsaa,wanaulizia uchache wa kuandikisha wanafunzi wakti wameweka unasimu mwingi Sana.
 
Sawa hakuna shida,wewe ni miongoni kati ya wale mnaoambiwa msile sana. Huwezi kuwemo kati yetu.
Uvivu wako ndiyo umasikini wako.Ni ujinga kulazimisha uishi kupitia juhudi za wengine,na hiyo ndiyo maana ya kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Sasa kwenye nchi ambayo Rais anaagiza kuwa viongozi waitafune nchi kwa staha kwa sababu wamekuwa wakiitafuna kwa ulafi hadi wanavimbiwa, hiyo raha itatoka wapi?😁😁😁
 
Sasa kwenye nchi ambayo Rais anaagiza kuwa viongozi waitafune nchi kwa staha kwa sababu wamekuwa wakiitafuna kwa ulafi hadi wanavimbiwa, hiyo raha itatoka wapi?[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2081859
Kwa hiyo bora ni kipi kati ya mawaziri waliokuwa wanaitafuna nchi hadi wanavimbiwa zama za mwendazake na ambao wataitafuna kwa staha?.
 
Una akili timamu kweli?!Ufisadi ni ufisadi tu.Wewe ulishawahi kujiuliza ni kwa nini mwizi wa kuku anachomwa moto wakati ameiba kitu kidogo sana?

Ufisadi hata kama ni wa kuiba shilingi mia unapaswa kupigwa vita kwa kuwa mazoea huzaa sheria.Hatupaswi kuwa na Taifa ambalo lina-entertain ufisadi.

Halafu Rais anaposema kuwa waibe kwa kiasi kwani hicho kiasi ni kiasi gani?Nani anapima kuwa kiasi hiki ni sahihi kuibiwa na kile siyo sahihi?Nani anapima kuwa kiasi hiki ni kuvimbiwa na kile siyo kuvimbiwa?

Unaelewa kuwa kiasi cha kuvimbiwa kwako wewe kinaweza kuwa ndiyo kifungua kinywa kwangu? Unaelewa kuwa kiasi cha kuvimbiwa kwangu kwako kinaweza kuwa ndiyo safisha koo kwa ajili ya kuanza kula?

Hivi vipimo vya kushiba ufisadi vs kuvimbiwa ufisadi atavitoa na kuvisimamia nani?
 
Uvivu wako ndiyo umasikini wako.Ni ujinga kulazimisha uishi kupitia juhudi za wengine,na hiyo ndiyo maana ya kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Ninakila kitu lakini sina furaha na viongozi wangu Waserikali ya kijiji na hata bunge na Rais wetu sina furaha juu Yao pia naichukia CCM .
 
Una akili timamu kweli?!Ufisadi ni ufisadi tu.Wewe ulishawahi kujiuliza ni kwa nini mwizi wa kuku anachomwa moto wakati ameiba kitu kidogo sana?

Ufisadi hata kama ni wa kuiba shilingi mia unapaswa kupigwa vita kwa kuwa mazoea huzaa sheria.Hatupaswi kuwa na Taifa ambalo lina-entertain ufisadi.

Halafu Rais anaposema kuwa waibe kwa kiasi kwani hicho kiasi ni kiasi gani?Nani anapima kuwa kiasi hiki ni sahihi kuibiwa na kile siyo sahihi?Nani anapima kuwa kiasi hiki ni kuvimbiwa na kile siyo kuvimbiwa?

Unaelewa kuwa kiasi cha kuvimbiwa kwako wewe kinaweza kuwa ndiyo kifungua kinywa kwangu? Unaelewa kuwa kiasi cha kuvimbiwa kwangu kwako kinaweza kuwa ndiyo safisha koo kwa ajili ya kuanza kula?

Hivi vipimo vya kushiba ufisadi vs kuvimbiwa ufisadi atavitoa na kuvisimamia nani?
Hawezi kukuelewa yeye amelelewa kwenye mazingira hayo wanaona kawaida
 
Back
Top Bottom