Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 2,993
- 3,747
Muache kuroganaNadhani wewe ndio akili yako iko shaghalabaghala.
Tunachapa Kazi hatuna muda wa kupima corona mapapai na mbuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muache kuroganaNadhani wewe ndio akili yako iko shaghalabaghala.
Tunachapa Kazi hatuna muda wa kupima corona mapapai na mbuzi
Tanzania na wananchi wake ktk miaka 5 ya mwendazake walikosa raha na furaha.
Sasa nchi imefunguka na wananchi wamejawa na furaha na raha
Kula kwa urefu wa kamba yako mkuu.watu wa pwani safi sana Mwinyi mzee wa ruksa,Kikwete sasa Samia hongereni sana kwa kutupa bata.Wanajukwaa habari za siku...!
Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha.
Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu
Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ),wabunge asilimia kubwa ya wananchi hakuna mwenye kutaka kujua wanafanya nini N.K
Kingine,wananchi wamepoteza upendo walamshikamano kama Taifa. Pia wananchi hawana Imani na serikali Yao pia hawana Imani na Jeshi la polisi.
Asanteni wote.
Tatizi uchaguzi wa kupora hauna baraka. Hata wao hawana rahaWanajukwaa habari za siku...!
Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha.
Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu
Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ),wabunge asilimia kubwa ya wananchi hakuna mwenye kutaka kujua wanafanya nini N.K
Kingine,wananchi wamepoteza upendo walamshikamano kama Taifa. Pia wananchi hawana Imani na serikali Yao pia hawana Imani na Jeshi la polisi.
Asanteni wote.
Kwa kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2019 mita na uchaguzi mkuu 2020 ni muhimu kuwepo na katiba mpya. Kuzuia kisijurudie na kuamsha moral ya wananchi ili kujitokeza kutumia haki ya ya kikatiba kupigwa kura. Awamu zijazo.Tatizi uchaguzi wa kupora hauna baraka. Hata wao hawana raha
CCM ndiyo wametaka hivyo Kwa sababu hawana hoja za kuweza kupambana na upinzani.Kwa kwel siasa zmekosa mvuto
Aibu Sana Aliyesema Alitakiwa Awekwe PembeniUnategemea nini bila kukemewa, mawaziri wanaambiwa kila mtu ale Kwa urefu wa kamba yake, wananchi watakuwa na furaha nao?
Hii kauli ya kula Kwa urefu wa kamba yako,ni kauli ambayo Haina afya Kwa Taifa .Kula kwa urefu wa kamba yako mkuu.watu wa pwani safi sana Mwinyi mzee wa ruksa,Kikwete sasa Samia hongereni sana kwa kutupa bata.
Nasikia mawaziri wanalogana huko kwenu, je mlozi ni nani tuanze kumshughulikia mapema.Tanzania na wananchi wake ktk miaka 5 ya mwendazake walikosa raha na furaha.
Sasa nchi imefunguka na wananchi wamejawa na furaha na raha
Mimi si miongoni mwao.Wanajukwaa habari za siku...!
Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha.
Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu
Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ),wabunge asilimia kubwa ya wananchi hakuna mwenye kutaka kujua wanafanya nini N.K
Kingine,wananchi wamepoteza upendo walamshikamano kama Taifa. Pia wananchi hawana Imani na serikali Yao pia hawana Imani na Jeshi la polisi.
Asanteni wote.
Ikikupendeza naomba tuungane tupate katiba mpya ndiyo furaha ya hii nchiKwahiyo unapendekeza tuihame nchi?
Ndiyo kawekwa sasa na Mungu!.Kajining'inize sasa.Daa Mungu alinusuru taifa letu na huyu Jin mahaba, Tanganyika yetu aic sjui inamkosi, da et kuleni kidogo pumbavu kabi
Sawa hakuna shida,wewe ni miongoni kati ya wale mnaoambiwa msile sana. Huwezi kuwemo kati yetu.Mimi si miongoni mwao.
Mzee baba!Samia yupo hapo kwa mapenzi ya muumba wake na kwa matakwa ya Katiba.Haya ni madhara ya kuwa na viongozi wasio na ridhaa ya umma. Na nina uhakika watu watazidi kupuuza viongozi kwani hawako tayari tena kushiriki kwenye chaguzi za kihuni. Hiki kitendo cha watu kupuuza box la kura, kitazidi kusababisha watu kudharau viongozi kwani hawako madarakani kwa ridhaa yao. Natabiri kutokea machafuko huko mbeleni ili kurekebisha huu uhuni wa kiutawala unaondelea hapa nchini.
Ndugai ametufumbua mambo mengi ikiwemo na huitaji wa katiba mpya, Baada ya kuona mhimili mmoja unatawala mingine.Hii ni dalili mbaya kwamba nchi inaelekea kupigwa mnada. Bi Mikopo ajiandae.