Siku hizi hakuna raha, hakujulikani kama kumekucha wala mvuto wa viongozi....! Mambo yapo shagalabagala...!

Wanajukwaa habari za siku...!

Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha.

Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu
Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ),wabunge asilimia kubwa ya wananchi hakuna mwenye kutaka kujua wanafanya nini N.K

Kingine,wananchi wamepoteza upendo walamshikamano kama Taifa. Pia wananchi hawana Imani na serikali Yao pia hawana Imani na Jeshi la polisi.
Asanteni wote.
Kula kwa urefu wa kamba yako mkuu.watu wa pwani safi sana Mwinyi mzee wa ruksa,Kikwete sasa Samia hongereni sana kwa kutupa bata.
 
Wanajukwaa habari za siku...!

Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha.

Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu
Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ),wabunge asilimia kubwa ya wananchi hakuna mwenye kutaka kujua wanafanya nini N.K

Kingine,wananchi wamepoteza upendo walamshikamano kama Taifa. Pia wananchi hawana Imani na serikali Yao pia hawana Imani na Jeshi la polisi.
Asanteni wote.
Tatizi uchaguzi wa kupora hauna baraka. Hata wao hawana raha
 
Kwa kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2019 mita na uchaguzi mkuu 2020 ni muhimu kuwepo na katiba mpya. Kuzuia kisijurudie na kuamsha moral ya wananchi ili kujitokeza kutumia haki ya ya kikatiba kupigwa kura. Awamu zijazo.
 
Tanzania na wananchi wake ktk miaka 5 ya mwendazake walikosa raha na furaha.
Sasa nchi imefunguka na wananchi wamejawa na furaha na raha
Nasikia mawaziri wanalogana huko kwenu, je mlozi ni nani tuanze kumshughulikia mapema.
 
Wanajukwaa habari za siku...!

Kiukweli nchi kama Taifa halina raha na wanchi wake hawana raha.

Kwa wanaongalia mambo kiundani utakuja kugundua wananchi hawana furaha na viongozi waliowachagu
Kwa mfano viongozi wa mitaa ( wenye viti wa serikali za mita ),wabunge asilimia kubwa ya wananchi hakuna mwenye kutaka kujua wanafanya nini N.K

Kingine,wananchi wamepoteza upendo walamshikamano kama Taifa. Pia wananchi hawana Imani na serikali Yao pia hawana Imani na Jeshi la polisi.
Asanteni wote.
Mimi si miongoni mwao.
 
Unesahau kusema hawana furaha na upinzani pia

Kifupi hawana pa kwenda ccm takataka upinzani takataka
 
Haya ni madhara ya kuwa na viongozi wasio na ridhaa ya umma. Na nina uhakika watu watazidi kupuuza viongozi kwani hawako tayari tena kushiriki kwenye chaguzi za kihuni. Hiki kitendo cha watu kupuuza box la kura, kitazidi kusababisha watu kudharau viongozi kwani hawako madarakani kwa ridhaa yao. Natabiri kutokea machafuko huko mbeleni ili kurekebisha huu uhuni wa kiutawala unaondelea hapa nchini.
Mzee baba!Samia yupo hapo kwa mapenzi ya muumba wake na kwa matakwa ya Katiba.
 
Back
Top Bottom