Siku hizi hakuna raha, hakujulikani kama kumekucha wala mvuto wa viongozi....! Mambo yapo shagalabagala...!

Zimbabwe na Eswatin hadithi zilikuwa hizi hizi, watu walipoingia mtaani viongozi wao hawakuamini.
Historia zetu ni tofauti sana, hulka yetu ni ya kipekee kulinganisha na mataifa mengi ya kiafrika.

Masoko yanaunguzwa kila kukicha kama vurugu zilipaswa kuanza na sababu kama hizi, umeshasikia mtu kaanzisha vurugu ya aina yoyote ile?.
 
Hii Sifa ya ukondoo hata Zimbabwe ilikuwepo, siku watu wameingia mtaani hapakutosha.
 
Historia zetu ni tofauti sana, hulka yetu ni ya kipekee kulinganisha na mataifa mengi ya kiafrika.

Masoko yanaunguzwa kila kukicha kama vurugu zilipaswa kuanza na sababu kama hizi, umeshasikia mtu kaanzisha vurugu ya aina yoyote ile?.
Msitumie udhaifu wa watanzani kuto kujua haki zao za kudai pale wanapo kosewa, ukahisi wataendelea kuwa hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom