KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Wewe ulikuwa wapi kuiba ili ungie madaraka na wewe?.Utawala huu hauna haki wala ridha ya wananchi kututawala, waliiba kura na kujitangazia uahindi Kwa wizi wa kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulikuwa wapi kuiba ili ungie madaraka na wewe?.Utawala huu hauna haki wala ridha ya wananchi kututawala, waliiba kura na kujitangazia uahindi Kwa wizi wa kura
Si ndiye kamuweka usiyekuwa na furaha naye.Mungu ametoka wapi hapa
Historia zetu ni tofauti sana, hulka yetu ni ya kipekee kulinganisha na mataifa mengi ya kiafrika.Zimbabwe na Eswatin hadithi zilikuwa hizi hizi, watu walipoingia mtaani viongozi wao hawakuamini.
Historia zetu ni tofauti sana, hulka yetu ni ya kipekee kulinganisha na mataifa mengi ya kiafrika.
Masoko yanaunguzwa kila kukicha kama vurugu zilipaswa kuanza na sababu kama hizi, umeshasikia mtu kaanzisha vurugu ya aina yoyote ile?.
Msitumie udhaifu wa watanzani kuto kujua haki zao za kudai pale wanapo kosewa, ukahisi wataendelea kuwa hivyo hivyoHistoria zetu ni tofauti sana, hulka yetu ni ya kipekee kulinganisha na mataifa mengi ya kiafrika.
Masoko yanaunguzwa kila kukicha kama vurugu zilipaswa kuanza na sababu kama hizi, umeshasikia mtu kaanzisha vurugu ya aina yoyote ile?.
Nikweli kabisa,wala hawataweza kuamini kama ndiyo watanzani wenye asili ya ukondoHii Sifa ya ukondoo hata Zimbabwe ilikuwepo, siku watu wameingia mtaani hapakutosha.
Ni ngumu sana kwa watanzania kubadilika. Kabla ya uhuru wapo hivi hivi usitegemee mabadiliko ya ghafla tu.Msitumie udhaifu wa watanzani kuto kujua haki zao za kudai pale wanapo kosewa, ukahisi wataendelea kuwa hivyo hivyo
Sio ukondoo, kabla mtu hajaingiza mguu barabarani anajiuliza mambo mengi na anagundua ni upotezaji wa muda.Nikweli kabisa,wala hawataweza kuamini kama ndiyo watanzani wenye asili ya ukondo