Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Hapo pana heshima gani mkuu..kwa mshahara ganiJambo jema, degree zipate heshima sio vijana wana degree alafu wapo nyumbani.
ni bora hicho kidogo kuliko kukaa nyumbani, hao si wanakulaga bure kwenye mahoteli ? pia nasikia wanalipwa laki 3Hapo pana heshima gani mkuu..kwa mshahara gani
Ndio maana yake, AEIOUIla Mheshimiwa Mbunge ajue kusoma na Kuandika tu
Wana marupurupu ya kutosha haoMasharti mengi hivi,Halafu unampa laki 3.
Hiyo ilianza kitambo huko Kenya na NigeriaKampuni ya mabasi ya ABC imetangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa mabasi (Bus Hostess) ambapo kuna vigezo kadhaa unatakiwa kuwa navyo.
Kigezo kimoja wqpo ni Bachelor Degree in Public Relation, Procurement, Account, Marketing au Business Administration.
Yaani wanataka wahudumu wasomi na sio ngumbaru. Tunakoelekea na hizi teknoljia za akina Chat GPT, tutakuja kuwa na waokota makopo wenye degree.
View attachment 2585512
Na Cha juu pia kwenye kuvusha Mizigo na Parcel za hapa na paleWana marupurupu ya kutosha hao
Masharti mengi hivi,Halafu unampa laki 3.
Kifupi hela ipo sio kazi ya kuibeza!Na Cha juu pia kwenye kuvusha Mizigo na Parcel za hapa na pale
Kwenye viwanda Keko Kiwanda Cha Peni per day 7,500 karibu BongoWahindi wanalipa chini ya Laki 3. Na watu kazi wanagombania
Hiyo laki 3 wameitaja wapi we pimbi?Masharti mengi hivi,Halafu unampa laki 3.
Eti ngumbaru[emoji1787] dah!Kampuni ya mabasi ya ABC imetangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa mabasi (Bus Hostess) ambapo kuna vigezo kadhaa unatakiwa kuwa navyo.
Kigezo kimoja wqpo ni Bachelor Degree in Public Relation, Procurement, Account, Marketing au Business Administration.
Yaani wanataka wahudumu wasomi na sio ngumbaru. Tunakoelekea na hizi teknoljia za akina Chat GPT, tutakuja kuwa na waokota makopo wenye degree.
View attachment 2585512
Nyie hamjui tu makampuni ya mabasi wanalipa mishahara mizuri sana hasa ukiwa na elimu achana na hizi kazi za upigadebe kuna nyingine km hizo Ticket attendant Managers,wahasibu,na position nyingine zinahitaji wenye elimu na mishahara ni mizuri sana..Hapo pana heshima gani mkuu..kwa mshahara gani