Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kampuni ya mabasi ya ABC imetangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa mabasi (Bus Hostess) ambapo kuna vigezo kadhaa unatakiwa kuwa navyo.
Kigezo kimoja wqpo ni Bachelor Degree in Public Relation, Procurement, Account, Marketing au Business Administration.
Yaani wanataka wahudumu wasomi na sio ngumbaru. Tunakoelekea na hizi teknoljia za akina Chat GPT, tutakuja kuwa na waokota makopo wenye degree.