Siku hizi hata uhudumu wa mabasi unatakiwa uwe na degree

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Kampuni ya mabasi ya ABC imetangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa mabasi (Bus Hostess) ambapo kuna vigezo kadhaa unatakiwa kuwa navyo.

Kigezo kimoja wqpo ni Bachelor Degree in Public Relation, Procurement, Account, Marketing au Business Administration.

Yaani wanataka wahudumu wasomi na sio ngumbaru. Tunakoelekea na hizi teknoljia za akina Chat GPT, tutakuja kuwa na waokota makopo wenye degree.

B663E8B5-631B-4918-9650-CCC80FB3302F.jpeg
 
Kampuni ya mabasi ya ABC imetangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa mabasi (Bus Hostess) ambapo kuna vigezo kadhaa unatakiwa kuwa navyo.

Kigezo kimoja wqpo ni Bachelor Degree in Public Relation, Procurement, Account, Marketing au Business Administration.

Yaani wanataka wahudumu wasomi na sio ngumbaru. Tunakoelekea na hizi teknoljia za akina Chat GPT, tutakuja kuwa na waokota makopo wenye degree.

View attachment 2585512
Hiyo ilianza kitambo huko Kenya na Nigeria
 
Masharti mengi hivi,Halafu unampa laki 3.

Wahindi wanalipa chini ya Laki 3. Na watu kazi wanagombania.

Ukiwa kwenye bus hukosi hela ya pembeni nje ya mshahara. Kuna watu wanatuma mizigo midogo kienyeji wanakufata wewe hostess uwafikishie mikoani vibahasha vyao

Kuna abiria wa njiani dereva akipiga dili lazima akupoze
 
Kampuni ya mabasi ya ABC imetangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa mabasi (Bus Hostess) ambapo kuna vigezo kadhaa unatakiwa kuwa navyo.

Kigezo kimoja wqpo ni Bachelor Degree in Public Relation, Procurement, Account, Marketing au Business Administration.

Yaani wanataka wahudumu wasomi na sio ngumbaru. Tunakoelekea na hizi teknoljia za akina Chat GPT, tutakuja kuwa na waokota makopo wenye degree.

View attachment 2585512
Eti ngumbaru[emoji1787] dah!
Tuso na degree mnatuchukuliaje jamani[emoji38]
 
Hapo pana heshima gani mkuu..kwa mshahara gani
Nyie hamjui tu makampuni ya mabasi wanalipa mishahara mizuri sana hasa ukiwa na elimu achana na hizi kazi za upigadebe kuna nyingine km hizo Ticket attendant Managers,wahasibu,na position nyingine zinahitaji wenye elimu na mishahara ni mizuri sana..

Speaking from experience mimi tangu nina miaka 19 nilikuwa nimeajiriwa kwenye kampuni ya mabasi niliajiriwa soon baada ya kumaliza form four,nkaenda Form 5 na 6 mpk chuo bosi akaniomba niendelee kubaki hapo,nikiri wazi kipindi ambacho nipo kwenye mabasi nilikuwa na hela sana ukiachana na mishahara kwenye mabasi kuna upigaji mwingi ambao mnapiga tukio na bosi hata hafahamu mpaka ile kampuni inafirisika(imefirisika kwa bosi kuingia kwenye biashara nyingine lakini sio kifedha)nilishapata mtaji wa kutosha wa kujiajiri...
Acha vijana tu waende huko
 
Back
Top Bottom