Ndio ukweli wenyewe huo, ndoa ambazo watu wanaingia wakiwa wanapendana kweli nadhani ni asilimia ndogo sana.Siku hizi mwanaume ukimfatilia mdada anaekusumbua kwa mda mrefu na kuwekeza sana mda na hela kwake baada ya miaka 5 huenda ukakutana na story inayokuhusu wewe bila wewe kujua, kwenye confession page ya raphee kule insta, ooh mume nilie nae anahudumia familia vizuri, ila sivutiwi nae kimapenzi, nilimkubali sababu ya hela, mara ooh mume wangu nilimkubali sababu ex wangu alinipiga matukio, alikua haeleweki nikaona ni-settle" 🙌 Kelsea
Mbambamba zanini weee tombba tu mtajua mbele kwa mbele
Kwasababu kuna alternativesZamani ndio ilikua nzuri, mtu anakufukuzia muda mrefu na yupo serious sio hawa wa sasa akiomba namba ukiringa kidogo tu ndio imeisha hiyo.
wewe jama unafeli sana, kuna wanawake wanapenda watu smart kichwani, akikusikia unavyopangilia fact tayari yeye analowa hapo bado hujaanza kumletea za kumtaka.Sio udomo zege kwa 100% ila wanaume wengi siku hizi tumegundua kama mdada hakutaki ni hakutaki tu hata ufanyeje, maneno matamu hayana msaada mkubwa kwenye utongozaji Binti wa zamani
Hahaha kpindi hicho una muota mtu kabisa na kumtamkia inakua ngumu🤣Mitongozano ya zamani mpaka unaloana hata mwaka mwendo ni huo sitaki nataka na hiyo ndo ilitugharimu sana unafall kweli kweli mwisho wa siku mkifika kikomo ni mwendo wa kuchinjana
Hawa vijana wa kupeana idea wako vizuri kisaikolojia katika kukabiliana na hizi stress za mapenzi, ijapokuwa mapenzi yao hayana test kama ilivyokuwa enzi zetu
Acha wewe ukinywa maji unanuona kwenye glass kweli kweli, sasa mapenzi ya hivyo halafu muachane hilo timbwili ni mmoja apotee au afe, fatilia hata vifo vya wivu wa mapenzi kwa kizazi hiki genz na sie millennial,Hahaha kpindi hicho una muota mtu kabisa na kumtamkia inakua ngumu🤣
Gen z wanafikiri mapenzi ni kulombna na pesa tu , hilo linawasaidia kutotilia maanani hisia za kweliAcha wewe ukinywa maji unanuona kwenye glass kweli kweli, sasa mapenzi ya hivyo halafu muachane hilo timbwili ni mmoja apotee au afe, fatilia hata vifo vya wivu wa mapenzi kwa kizazi hiki genz na sie millennial,
Genz wapo very safe
Yeah, huu ni ukweli coz wameyafanya kuwa ni kitu cha kawaida mno.Enzi zetu tuliyachukulia kwa uzito fulani, sasa sijui ni ushamba au ulimbukeni????Genz wapo very safe
Ulimbukeni na kupotezeana muda,Yeah, huu ni ukweli coz wameyafanya kuwa ni kitu cha kawaida mno.Enzi zetu tuliyachukulia kwa uzito fulani, sasa sijui ni ushamba au ulimbukeni????
Gen Z katika kitu wamekirahisisha mno ni mapenzi. Yaani mapenzi yasikupotezee muda.Huo muda unaweza kufanya vitu vikubwa sana!Ulimbukeni na kupotezeana muda,
Ndoto nyingi zimepotea kwenye huo ujinga wa kutongozana muda mrefu,Gen Z katika kitu wamekirahisisha mno ni mapenzi. Yaani mapenzi yasikupotezee muda.Huo muda unaweza kufanya vitu vikubwa sana!
Imagine enzi zetu unamfuatilia mtu mwaka au miaka halafu baadaye jibu lake hakutaki!
Coz zamani mwanaume unaaminishwa ujinga wa kukomaa! Eti akikataa mara moja rudia tena! Jitu linarudia zaidi ya mwaka plus miaka!
Kumbe penzi la kweli halihitaji kupeana muda coz unalihisi wewe mwenyewe!
Kwa hiyo unatushauri tukikataliwa mara moja tupotezeeNdoto nyingi zimepotea kwenye huo ujinga wa kutongozana muda mrefu,
Yani delete chap huo muda mngeshavumbua ma vitu ya maana unakaa kufatilia kidudu kimoja chenye gono na uti sugu, upuuzi gani huo tulifanya!!Kwa hiyo unatushauri tukikataliwa mara moja tupotezee
Nilifanya hivyo nikaambiwa nilijua tu ulitaka kunichezea😅Yani delete chap huo muda mngeshavumbua ma vitu ya maana unakaa kufatilia kidudu kimoja chenye gono na uti sugu, upuuzi gani huo tulifanya!!