Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Wapumzike sasa kumuweka MkojaniHakuna tena kukosa mechi au vipindi vya AzamTv ukiwa safarini.
Baada ya AzamTv kuleta ving’amuzi ambavyo unaweza ukafunga kwenye magari, mabasi ya mikoani yamechangamkia fursa.
Mabasi kama Mallesa, Achimwene na Shabiby yashafungwa na wateja wana enjoy.
Tumpe mzee Bakhressa maua yake ayanuse angali hai.
View attachment 2818129
apo mi mwenyewe ndio nashindwa kuelewa kabisa nikajua ni mimi tu ndio sielewi hilo swala nduguMnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Na biashara yake piajamaa anapambania ligi yetu sana walah
Mwamedi ni utajiri kwa vijana below 45 ndio anasimamiamo humo not overallMnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
kwa chababu anamiliki clabu ya chimba,, chimba nao wakaona wampe chapoti ya promo... Broo hiyi inch rahisi sana hata wewe ukitaka kujitangaza tajir wa nchi inawezekanaMnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
kabisaaa.. silipendagi hili jamaa basi tuWapumzike sasa kumuweka Mkojani
Mo ni dollar billionaire, bakhresa ni dollar millionaire.Mnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Vyanzo hivyohivyo vilimtaja jacline mengi kuwa ni mwanamke anaechipukia kwa utajiri kisa kafungua duka la furnitureMo ni dollar billionaire, bakhresa ni dollar millionaire.
Huwezi kujua ukweli ila vyanzo vinavyoaminika vinasema hivyo.
Hapo sawa, hata mie huwa nashangaa sana.Mwamedi ni utajiri kwa vijana below 45 ndio anasimamiamo humo not overall
Mimi nazungumzia forbes ndugu.Vyanzo hivyohivyo vilimtaja jacline mengi kuwa ni mwanamke anaechipukia kwa utajiri kisa kafungua duka la furniture
Mbna Jehanamu magengeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiombe dereva ndo timuyak imefungwa tutakutana akhera madukani
Imagine huku goal na yeye afanye goal Yan sio magengeni ni akhera mnadani 😂😂Mbna Jehanamu magengeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye Kutangaza zile bilion 20 ndipo mudi anapomzidi bakhresaMnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Mimi naona tubaki na mfumo huu huu tu wasukuma ni wasumbufu sana kwenye Tv aisee watataka waangalie mieleka mpaka wafikeMbna Jehanamu magengeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mm sijawah kuelewa yule mzee wa copy and paste anamzidi aje? Angekuwa na vingamuzi na hili angeigaMnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Kwani unadhani waliokamtaja huyo jackline ni nani kama sio hao forbes?Mimi nazungumzia forbes ndugu.