Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Dewji ameaajiri ajira rasmi kwa watanzania 20k wakati Bakhresa ni 8k.
Dewji ana viwanda vingi sana Tanzania na anayo bidhaa ya kila aina.
Tena ni the biggest importer wa mafuta Tanzania.
Inshort hakuna uongo na mnaoshangaa Dewji kuwa tajiri namba moja basi hamna taarifa zaidi.
 
Mnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
KunA siku nilisikia mwamedi anasema ana kiwanda kina uwezo wa kutengeneza kitambaa kinachoweza kuzunguka dunia nzima

Ngoja nikupe sababu zinazopelekea mwamedi kumzidi Mzee ni kwamba product karibia zote anazozalisha mzee, mwamedi nae anazalisha

Pia mwamedi ana mashamba ya kutosha ya mikonge,kiujumla mwamedi ana maasset mengi yasiyoshuka thamani kama ardhi

Bado mwamedi ni agent wa bidhaa mbali mbali za umeme na mapikipiki kutoka nje
 
On top of that ana viwanda 40 Tanzania.
 
Dewji ameaajiri ajira rasmi kwa watanzania 20k wakati Bakhresa ni 8k.
Dewji ana viwanda vingi sana Tanzania na anayo bidhaa ya kila aina.
Tena ni the biggest importer wa mafuta Tanzania.
Inshort hakuna uongo na mnaoshangaa Dewji kuwa tajiri namba moja basi hamna taarifa zaidi.
Taja viwanda alivyonavyo Mo ili uiweke hiyo hesabu yako ya 20k na Bakhresa na hayo mambo mengine.....weka ufafanuzi mzuri tukuelewe
 
Back
Top Bottom