Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Pikipiki zote za Boxer Tanzania zimeletwa na Dewji na kampuni inayofanya vizuri kuliko zote ya insuarance ni ya Dewji.
Dewji ni mtengenezaji na exporter wa nguo nje ya Africa.
Kiwanda kikubwa cha vitenge morogoro ni cha kwake.
Dewji ni mtengenezaji na exporter wa nguo nje ya Africa.
Kiwanda kikubwa cha vitenge morogoro ni cha kwake.
Siwezi kutaja viwanda kimoja kimoja viwanda viko 40.
Hizi taarifa zipo kwenye website ya MeTL group na Bakhresa group.
Na pia ni statistics ambazo unaweza zipata website za serekali.
Dewji pia anafanya hivyo.
Unajua kuwa Dewji anabiashara tofauti 126?