Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Huu ni ubunifu mzuri sana, Kongole kwa Mzee Bakhressa, ila vipi mawasiliano hayakati kweli??😂Hakuna tena kukosa mechi au vipindi vya AzamTv ukiwa safarini.
Baada ya AzamTv kuleta ving’amuzi ambavyo unaweza ukafunga kwenye magari, mabasi ya mikoani yamechangamkia fursa.
Mabasi kama Mallesa, Achimwene na Shabiby yashafungwa na wateja wana enjoy.
Tumpe mzee Bakhressa maua yake ayanuse angali hai.
View attachment 2818129
Sio kwa ubaya ila nina dishi hapa la 'burudani kwa wote' jipyaaaaaa, ila ukivuma upepo tu chaneli chali😔
Sasa wakati wa mvua ndio balaa, kama upo home bora uweke tu flash maana dishi chaneli zote zinakata!!!