Emen
JF-Expert Member
- Jun 22, 2021
- 2,069
- 3,516
Mimi naona tubaki na mfumo huu huu tu wasukuma ni wasumbufu sana kwenye Tv aisee watataka waangalie mieleka mpaka wafike
[emoji30][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naona tubaki na mfumo huu huu tu wasukuma ni wasumbufu sana kwenye Tv aisee watataka waangalie mieleka mpaka wafike
Mnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Dewji ameaajiri ajira rasmi kwa watanzania 20k wakati Bakhresa ni 8k.
Dewji ana viwanda vingi sana Tanzania na anayo bidhaa ya kila aina.
Tena ni the biggest importer wa mafuta Tanzania.
Inshort hakuna uongo na mnaoshangaa Dewji kuwa tajiri namba moja basi hamna taarifa zaidi.
Tumwombe mkojani afafanue.Mnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Akhera kuna sehemu inaitwa madukani😂😂😂😂😂Usiombe dereva ndo timuyak imefungwa abiria tutakutana akhera madukani
🤭Eh kwanini nampa ratiba tu umnyime mtu aende kanisani kwanini napenda sana mtu aende kanisani amalize kazi yake aende hata mara tano mbona waslamu mnaenda msikitini mara 7 kwa siku nyani haoni malizia mwenyewe
Akhera kuna sehemu inaitwa madukani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna tena kukosa mechi au vipindi vya AzamTv ukiwa safarini.
Baada ya AzamTv kuleta ving’amuzi ambavyo unaweza ukafunga kwenye magari, mabasi ya mikoani yamechangamkia fursa.
Mabasi kama Mallesa, Achimwene na Shabiby yashafungwa na wateja wana enjoy.
Tumpe mzee Bakhressa maua yake ayanuse angali hai.
View attachment 2818129
Location ya makutano ya marehemu 😂😂😂Akhera kuna sehemu inaitwa madukani😂😂😂😂😂
Nitakuvamia nikupige 🤣🤣🤣🤣
Akili za kitajiri hizo, bakhresa ni level nyingine kabisaa.Hakuna tena kukosa mechi au vipindi vya AzamTv ukiwa safarini.
Baada ya AzamTv kuleta ving’amuzi ambavyo unaweza ukafunga kwenye magari, mabasi ya mikoani yamechangamkia fursa.
Mabasi kama Mallesa, Achimwene na Shabiby yashafungwa na wateja wana enjoy.
Tumpe mzee Bakhressa maua yake ayanuse angali hai.
View attachment 2818129
Anakera sana, unaweza kwenda ukirudi unakutana na mkojani tenaWapumzike sasa kumuweka Mkojani
Ni kweli ila mmbaguZiAkili za kitajiri hizo, bakhresa ni level nyingine kabisaa.
Bhaharesa hajaweka taarifa zake zote wazi, hivyo hawamuelewi watafuta taarifaMnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Yaani kuona Soka tu kunakuchanganya MO Si wa mchezo!Mnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Tax payer mkubwa tz ni TBL sio mo acha usenge ninaWewe unaweza kutaja mali zote anazomiliki Bakhresa.
Tax payer mkubwa Tanzania ni Dewji sasa mabishano ya nini?
Jichanganye uone kama hukunasa tupate ka bby jf 😊Nitakuvamia nikupige 🤣🤣🤣🤣
Utajiri sio mbwembwe wala muonekano wa nje,Utajiri ni tangible and non tangible assets forbes sio wajinga.Mnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Ili mradi utoe mahari unioe kanisaniJichanganye uone kama hukunasa tupate ka bby jf 😊
Utajiri sio mbwembwe wala muonekano wa nje,Utajiri ni tangible and non tangible assets forbes sio wajinga.