min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
😊😊Ili mradi utoe mahari unioe kanisani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😊😊Ili mradi utoe mahari unioe kanisani
Umefurahi eh mwone😏😏😏😎😎
Sana tu naachaje mfano😋Umefurahi eh mwone😏😏😏😎😎
Tupiamo kasource kidogo basMo ni dollar billionaire, bakhresa ni dollar millionaire.
Huwezi kujua ukweli ila vyanzo vinavyoaminika vinasema hivyo.
Mnatia Aibu sana kwa aina hii ya argument,shame on youMnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Tunazungumzia Dewji na Bakhresa.Tax payer mkubwa tz ni TBL sio mo acha usenge nina
Hakika, huwa ni kero za kelele na usumbufu kwa wengine.Wapumzike sasa kumuweka Mkojani
Ana ubaguzi upi teena, mie simfahamu personnal hata kwa picha simjui aiseee.Ni kweli ila mmbaguZi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vyanzo hivyohivyo vilimtaja jacline mengi kuwa ni mwanamke anaechipukia kwa utajiri kisa kafungua duka la furniture
Hao vijana 20K wameajiriwa wapi na Dewj?Dewji ameaajiri ajira rasmi kwa watanzania 20k wakati Bakhresa ni 8k.
Dewji ana viwanda vingi sana Tanzania na anayo bidhaa ya kila aina.
Tena ni the biggest importer wa mafuta Tanzania.
Inshort hakuna uongo na mnaoshangaa Dewji kuwa tajiri namba moja basi hamna taarifa zaidi.
Hizo hapo,Tupiamo kasource kidogo bas
Mwamed kulingana na BOT ndio kiumbe anachangia asilimia 2.5 ya bidhaa zote zinazozalishwa na kununuliwa ndani ya nchi,hii takwimu ni balaa mno kwa kampuni moja kufanya,kama secta ya viwanda kwa ujumla inachangia asilimia 8 kwenye gdp.Mwamed anatajwa na serikali na wahusika hajitaji mwenyewe.Mnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi![]()
Kumlinganisha Bakheresa aliyeutafura utajiri wake mwenyewe na Mo aliyerithi utajiri wa familia haina mashiko pia.Halafu kwanini watu wanamlinganisha Mo na Mzee Said Bakhresa mwenyewe, inatakiwa wamlinganishe Mo Dewji na Yusuf Bakhresa hao ndio rika moja, Mzee Bakhresa anatakiwa alinganishwe na baba yake Mo Mzee Gulam Dewji ndio rika moja
Africa bado ni bara la giza, kila kitu shaghalabaghala.Sasa hizi zitakuwa safari au washangiliaji wa mpira?
Kweli ukifika kwa wazungu utajua utofauti wetu na wao
Huwezi kusikia hata mtu anapiga kelele wakati anaongea na simu, let alone mziki au soka
Kwenye seat zimeandikwa kabisa heshimu wenzako kwa kuongea taratibu
Mabasi mengi yana WiFi na una enjoy na kuuchapa bila bughudha
Yaani safari za Africa ni jahanam
Porojo hizo, nchi 24 unaelewa ni karibu nusu ya Africa?!Mo hajawekeza Tz tu bali kawekeza zaidi ya nchi 24 barani Afrika.
Umemaliza kila kitu hapaMo na Bakhresa kampuni zao ni privately held, hazipo kwenye masoko ya hisa, kwahiyo ni ngumu sana kujua utajiri wao, kudanganya ni rahisi.
Labda vibarua.Ndiyo, na ndiye tajiri aliyeajiri watu wengi baada ya serikali
Laki na nusu kwa mwezi?!Ukitaka kujua kati ya bakhresa na Mo nani ni tajiri angalia wafanyakazi wao. Mfano Kuna kampuni moja ya azam kima Cha chini Cha mshahara ni laki nne na nusu(450,000/=) hiyo ni take home baada ya makato yote, nenda Kwa Mo utahuzunika. Mo analipa laki na nusu
Tofautisha Mo na baba yake.Mo alikuwepo tangu Rais Mwinyi huyu Bakrehsa katoto kajuzi kanajitafuta
Wa Moh wengi ni dei Waka ila bakhresa anatoa mikatabaLaki na nusu kwa mwezi?!
Huu ni sawa na utumwa.