Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Dewji ameaajiri ajira rasmi kwa watanzania 20k wakati Bakhresa ni 8k.
Dewji ana viwanda vingi sana Tanzania na anayo bidhaa ya kila aina.
Tena ni the biggest importer wa mafuta Tanzania.
Inshort hakuna uongo na mnaoshangaa Dewji kuwa tajiri namba moja basi hamna taarifa zaidi.
Hao vijana 20K wameajiriwa wapi na Dewj?
 
Tupiamo kasource kidogo bas
Hizo hapo,
{E4B09F68-044C-450F-867B-2BA0A0753520}.png.jpg


{417DE0DC-B7D4-4E79-A29E-0B655961DDE8}.png.jpg


Ila sasa cha kuzingatia, Mo yuko kwenye list ya forbes real time billionaires, inayobadilika kila siku.... na hata list ya africa's richest ya january alikuwepo. Bakhresa mara ya mwisho kutajwa ilikua chapisho la 2015.

Sasa forbes hua wanasema watu wote wanaowaweka kwenye list hua wanawasiliana nao kufanya makadirio ya hizo net worth, bakhresa kutokuwepo kwenye list tokea 2015 inaweza maanisha aliacha kuwasiliana nao, anaweza akawa ametajirika zaidi.

Kingine Mo na Bakhresa kampuni zao ni privately held, hazipo kwenye masoko ya hisa, kwahiyo ni ngumu sana kujua utajiri wao, kudanganya ni rahisi.
 
Mnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi
emoji848.png
Mwamed kulingana na BOT ndio kiumbe anachangia asilimia 2.5 ya bidhaa zote zinazozalishwa na kununuliwa ndani ya nchi,hii takwimu ni balaa mno kwa kampuni moja kufanya,kama secta ya viwanda kwa ujumla inachangia asilimia 8 kwenye gdp.Mwamed anatajwa na serikali na wahusika hajitaji mwenyewe.
 
Halafu kwanini watu wanamlinganisha Mo na Mzee Said Bakhresa mwenyewe, inatakiwa wamlinganishe Mo Dewji na Yusuf Bakhresa hao ndio rika moja, Mzee Bakhresa anatakiwa alinganishwe na baba yake Mo Mzee Gulam Dewji ndio rika moja
Kumlinganisha Bakheresa aliyeutafura utajiri wake mwenyewe na Mo aliyerithi utajiri wa familia haina mashiko pia.
 
Sasa hizi zitakuwa safari au washangiliaji wa mpira?
Kweli ukifika kwa wazungu utajua utofauti wetu na wao
Huwezi kusikia hata mtu anapiga kelele wakati anaongea na simu, let alone mziki au soka
Kwenye seat zimeandikwa kabisa heshimu wenzako kwa kuongea taratibu
Mabasi mengi yana WiFi na una enjoy na kuuchapa bila bughudha
Yaani safari za Africa ni jahanam
Africa bado ni bara la giza, kila kitu shaghalabaghala.
 
Ukitaka kujua kati ya bakhresa na Mo nani ni tajiri angalia wafanyakazi wao. Mfano Kuna kampuni moja ya azam kima Cha chini Cha mshahara ni laki nne na nusu(450,000/=) hiyo ni take home baada ya makato yote, nenda Kwa Mo utahuzunika. Mo analipa laki na nusu
Laki na nusu kwa mwezi?!
Huu ni sawa na utumwa.
 
Back
Top Bottom