Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Mnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Tulishajiuliza hili swali miaka miaka sana.
Mimi na wenzangu tukakubaliana kuwa.

1. Mohamed amweka uchumi wake west wakati SSB yuko sana Uarabuni.

2. Wanakadiria uchumi wa SSB wako biased

3. Itakuwa wao wanaangalia pesa ya benk hawaangalii mali.

4. Mo ana mikopo ktk benk za wazungu. SSB sijui hata kama ana deni zaidi ya lile la Kodi kipindi Cha Magu.

5. Mo itakuwa biashara zake ziko ktk soko la hisa na SSB hana huo ujinga.
 
Duuuh, sioni hiyo sababu maana inakuwa kama mabishano wakati bidhaa zinaonekana au nenda kwenye duka la mangi uhesabu bidhaa.
Alafu isitoshe kama unaona Bakhresa yupo juu ya Dewji ni sawa pia.
Mwambie akawaulize TRA wanaokusanya kodi.maana maswali mengine ya wabongo yanasikitisha sana.mtu anataka ujue kila kitu cha mtu mwingine wakati mamlaka zenye kutoa taarifa sahihi zipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Hiz takwimu za akina mwamedi usiziamini kabisa ni mchongo tu mwamedi sio wa kumzidi ssb utajiri azam ana viwanda uganda malawi mozambique rwanda south africa na tanzania mwamedi kawekeza tanzania tu tena kimchongo mchongo wale forbes hawana tofauti na twaweza
 
Wakristo hasa walokole ni jamii ya watu wa ovyo , wewe kwenye biashara yako unaweza ajiri watu wanaenda kanisani kila siku?
Eh kwanini nampa ratiba tu umnyime mtu aende kanisani kwanini napenda sana mtu aende kanisani amalize kazi yake aende hata mara tano mbona waslamu mnaenda msikitini mara 7 kwa siku nyani haoni malizia mwenyewe
 
Yaani unaulizwa kitu kingine,unajibu kingine.
Wapi kasema anapungukiwa chochote?


Na wapi amebishana na serikali
Yaani anakuambia taja vitu ,wewe unamuandikia habari za serikali.
Wewe unaweza kutaja mali zote anazomiliki Bakhresa.
Tax payer mkubwa Tanzania ni Dewji sasa mabishano ya nini?
 
Sasa mkuu kwani Mo akimzidi Bakhareesa ww una pungukiwa nn ? Mbona una ubishi usio na maana.

Kinacho tuambia kuwa Mo ni tajiri namba moja Tz ni takimu zilizo tolewa na vyanzo vya kuaminika vinavyo fuatilia masuala ya kifedha na uchumi vya kimataifa mpaka na vya kiserikali.

Kama serikali yako inamtambua kama tajiri namba 1 tz ww unabisha kama nani au ww una akili kuliko serikali yako?


Mo sio tajiri namba 1 Tz tu bali ni tajiri namba 1 Afrika mashariki na kati nzima.
Hivi hua haiwezekani mtu akawa na ukwasi mkubwa ila akamiliki kampuni yenye thamani ndogo na akawa na ukwasi mdogo ila akamiliki kampuni yenye thamani kubwa? Nadhani wengi tunapotelea hapa
 
Back
Top Bottom