Ahead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 2,292
- 2,566
Kwa hiyi unaforce?kama ni tajiri kwanini hatokei kwenye jarida la kutathmini utajiri,hata kwenye top 15 hayupo wakati mo dewji yupo kwenye top ten miaka nenda rudi.Ni viazi tu,wakati MO anababaika kukata 20bln pale kwa makolo,mwenzake anakabidhi bilioni 200 kwa tenda ya kurusha matangazo.
Uzuri wa pesa sio maini ya mtu kwamba mpaka tumpasue ndio tuyaone.
Kama ni swala la assets basi hazimuingizii pesa inayoeleweka.