Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Mkuu according to Forbes Tanzania tunao dollar billionaires wawili Mo Dewji na jambazi Rostam Aziz, by the way wakisema tajiri kijana basi hata Yusuf Bakhresa anatakiwa aingie kwenye hiyo list na siyo baba yake, sababu sasa hivi anaendesha Azam GoC ni Yusuf Bakhresa kama ambavyo Mo Dewji anaendesha MeTL GoC na wote hao wamerithi na kuendeleza biashara za baba zao siyo self made
Urithi ni baada ya mtu kufa, wewe baba yako masikini unawaonea wengine wivu
 
Tulishajiuliza hili swali miaka miaka sana.
Mimi na wenzangu tukakubaliana kuwa.

1. Mohamed amweka uchumi wake west wakati SSB yuko sana Uarabuni.

2. Wanakadiria uchumi wa SSB wako biased

3. Itakuwa wao wanaangalia pesa ya benk hawaangalii mali.

4. Mo ana mikopo ktk benk za wazungu. SSB sijui hata kama ana deni zaidi ya lile la Kodi kipindi Cha Magu.

5. Mo itakuwa biashara zake ziko ktk soko la hisa na SSB hana huo ujinga.
Tatizo lenu hamsomi
 
Hiz takwimu za akina mwamedi usiziamini kabisa ni mchongo tu mwamedi sio wa kumzidi ssb utajiri azam ana viwanda uganda malawi mozambique rwanda south africa na tanzania mwamedi kawekeza tanzania tu tena kimchongo mchongo wale forbes hawana tofauti na twaweza
Tatizo lenu hamsomi, nenda tra uulizie
 
Ni viazi tu,wakati MO anababaika kukata 20bln pale kwa makolo,mwenzake anakabidhi bilioni 200 kwa tenda ya kurusha matangazo.

Uzuri wa pesa sio maini ya mtu kwamba mpaka tumpasue ndio tuyaone.

Kama ni swala la assets basi hazimuingizii pesa inayoeleweka.
Zile pesa hazitolewi kwa mkupuo, zinatolewa kwa mwezi kwa miaka 10 ambapo kila mwaka bilioni 20, kwa mwezi bilioni 1.5
 
KunA siku nilisikia mwamedi anasema ana kiwanda kina uwezo wa kutengeneza kitambaa kinachoweza kuzunguka dunia nzima

Ngoja nikupe sababu zinazopelekea mwamedi kumzidi Mzee ni kwamba product karibia zote anazozalisha mzee, mwamedi nae anazalisha

Pia mwamedi ana mashamba ya kutosha ya mikonge,kiujumla mwamedi ana maasset mengi yasiyoshuka thamani kama ardhi

Bado mwamedi ni agent wa bidhaa mbali mbali za umeme na mapikipiki kutoka nje
Mashamba ya serikali yale ya tanga na kule mufindi huyu mudi mjanjamjanja badala ya kuyaendeleza kaenda kuchukulia mikopo nadhani kipindi cha magu alinyanganywa.
 
20231112_172456.jpg
 
Hii nzuri,itapunguza baadhi ya kero. Nilipanda bus kutoka mbeya kwenda tanga hizo taarabu ase..bahati nzuri tulifika moro wakatubadilishia gari
 
Zile pesa hazitolewi kwa mkupuo, zinatolewa kwa mwezi kwa miaka 10 ambapo kila mwaka bilioni 20, kwa mwezi bilioni 1.5

Boss Kijana ilikuwa ni hiyo hiyo 20 pia,kwa taasisi anayoidhamini.

Nenda kaulize pale zinatolewa shingapi kwa mwezi[emoji16][emoji16]
 
Wewe unapungukiwa nini ukiambiwa Mo kazidiwa utajiri na Bakhresa?? [emoji12]
Sipungukiwi chochote lakini ukiona mtu anapingana mpaka na takwimu za kiserikali ni razima ujiulize maswali mengi juu yake

Viwanda vya Mo vinachangia zaidi ya %8 ya bidhaa zote zinazo tumika nchini tz kila siku, wakati Azam anachangia %3 tu ukienda TRA Mo analipa kodi kubwa mara mbili ya Bakhresa , utajiri wa Mo unachangia zaidi asilimia 2.5 ya uchumi wote, wa tz kiufupi jamaa takwimu zinambeba jamaa japo wengi wana mchukia.
 
Back
Top Bottom