HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Urithi ni baada ya mtu kufa, wewe baba yako masikini unawaonea wengine wivuMkuu according to Forbes Tanzania tunao dollar billionaires wawili Mo Dewji na jambazi Rostam Aziz, by the way wakisema tajiri kijana basi hata Yusuf Bakhresa anatakiwa aingie kwenye hiyo list na siyo baba yake, sababu sasa hivi anaendesha Azam GoC ni Yusuf Bakhresa kama ambavyo Mo Dewji anaendesha MeTL GoC na wote hao wamerithi na kuendeleza biashara za baba zao siyo self made