Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Hapa hoja sio bidhaa, hoja hapa ni nani tajiri kuliko mwingine na mm nimemjibu kuwa Mo takwimu kutoka vyanzo vyote vya kiserikali vinaonesha kuwa ana utajiri tena zaidi ya mara mbili ya Bakhresa sasa nyinyi kinacho fanya mtilie mashaka utajiri wa mo ni kitu gani hasa?
Umeonyesha takwimu??
 
Wewe uliyeleta taarifa humu ndiye mwenye jukumu la kuleta proof, copy hiyo information kwenye website na ui paste humu... Remember no data no right to speak...
metl.net
bakhresa.com
 

Attachments

  • 2023_11_19_14.46.34.jpg
    2023_11_19_14.46.34.jpg
    265.2 KB · Views: 3
  • 2023_11_19_14.47.11.jpg
    2023_11_19_14.47.11.jpg
    230.7 KB · Views: 3
Yani kisa kaweka ving'amuzi kwenye mabasi ndo hamuelewi anazidiwaje utajiri na Mo, utopolo bwana!
 
Mkuu unafahamu Bakhresa anauza bidhaa zake karibu nchi zote za East Africa, na kote huko kaajiri watu, au mapato yake yanayotoka kwenye nchi nyingine tofauti na Tanzania hayahesabiki kwenye utajiri wake
Ukitumia akili utakuta taarifa zote ziko TRA, website zao
 
Halafu kwanini watu wanamlinganisha Mo na Mzee Said Bakhresa mwenyewe, inatakiwa wamlinganishe Mo Dewji na Yusuf Bakhresa hao ndio rika moja, Mzee Bakhresa anatakiwa alinganishwe na baba yake Mo Mzee Gulam Dewji ndio rika moja
MO owns 75pc ya metl
 
Siwezi kutaja viwanda kimoja kimoja viwanda viko 40.
Hizi taarifa zipo kwenye website ya MeTL group na Bakhresa group.
Na pia ni statistics ambazo unaweza zipata website za serekali.

Dewji pia anafanya hivyo.
Unajua kuwa Dewji anabiashara tofauti 126?
Watanzania wanaendeshwa na chuki tu.
Wangejia MO ana biashara nyingi ambazo hawezi metl.
Azam biashara zake na watoto wake wanatumia brand 1
 
Mwamedi huwa ana appear kama tajiri kijana.

Kama ingekuwa kwenye ball Mwamedi anakuwa kwenye category ya golden boy.

Lkn hata hivyo kwa mujibu wa takwimu East Africa bado hatuna billionaire in terms of $$$$
Tatizo lenu hamsomi
 
Back
Top Bottom