Hizo hapo,
View attachment 2818645
View attachment 2818646
Ila sasa cha kuzingatia, Mo yuko kwenye list ya forbes real time billionaires, inayobadilika kila siku.... na hata list ya africa's richest ya january alikuwepo. Bakhresa mara ya mwisho kutajwa ilikua chapisho la 2015.
Sasa forbes hua wanasema watu wote wanaowaweka kwenye list hua wanawasiliana nao kufanya makadirio ya hizo net worth, bakhresa kutokuwepo kwenye list tokea 2015 inaweza maanisha aliacha kuwasiliana nao, anaweza akawa ametajirika zaidi.
Kingine Mo na Bakhresa kampuni zao ni privately held, hazipo kwenye masoko ya hisa, kwahiyo ni ngumu sana kujua utajiri wao, kudanganya ni rahisi.