Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Hakuna tena kukosa mechi au vipindi vya AzamTv ukiwa safarini.

Baada ya AzamTv kuleta ving’amuzi ambavyo unaweza ukafunga kwenye magari, mabasi ya mikoani yamechangamkia fursa.

Mabasi kama Mallesa, Achimwene na Shabiby yashafungwa na wateja wana enjoy.

Tumpe mzee Bakhressa maua yake ayanuse angali hai.

View attachment 2818129
 
Akili za kitajiri hizo, bakhresa ni level nyingine kabisaa.
 
Utajiri sio mbwembwe wala muonekano wa nje,Utajiri ni tangible and non tangible assets forbes sio wajinga.

Ni viazi tu,wakati MO anababaika kukata 20bln pale kwa makolo,mwenzake anakabidhi bilioni 200 kwa tenda ya kurusha matangazo.

Uzuri wa pesa sio maini ya mtu kwamba mpaka tumpasue ndio tuyaone.

Kama ni swala la assets basi hazimuingizii pesa inayoeleweka.
 
Back
Top Bottom