Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Taja viwanda alivyonavyo Mo ili uiweke hiyo hesabu yako ya 20k na Bakhresa na hayo mambo mengine.....weka ufafanuzi mzuri tukuelewe
Siwezi kutaja viwanda kimoja kimoja viwanda viko 40.
Hizi taarifa zipo kwenye website ya MeTL group na Bakhresa group, pia unaweza kufatilia kwenye vyanzo mbalimbali.
MeTl imeajiri 8% ya wajiriwa.
 
Mo mjanja mjanja....mtu wa mitandao kama mwijaku....mzee Bakhs huwezi mkuta kwenye mitandao amevaa kibukta na kikombe cha kahawa never
bila shaka hujawahi muona hata kwa sura, bosi wa karibia kila unacho kula, huwezi muona kwa tv hata kwa dharura, ingawa ye ndo mwenye king'amuzi, hana time na mitandao yani kuuza sura, yuko bize na mafao pesa mlungula, angetaka kupita nao wote angeshakula, hana huo muda wa makuzi.....
Harmonize_bakhera
 
ingia google type who is the owner of Tanzania uone kituko
Haha mkuu ulikuwa unatafuta nini hadi ukasearch hiyo sentensi, lakini sishangai sana google nayo kuna wakati huwa inakuwa fed some wrong data, kuna kipindi ilikuwa ukigoogle top ten ya most beautiful women in the world unakuta jina la Justin Bieber liko namba sita
 
Dewji ameaajiri ajira rasmi kwa watanzania 20k wakati Bakhresa ni 8k.
Dewji ana viwanda vingi sana Tanzania na anayo bidhaa ya kila aina.
Tena ni the biggest importer wa mafuta Tanzania.
Inshort hakuna uongo na mnaoshangaa Dewji kuwa tajiri namba moja basi hamna taarifa zaidi.
Mkuu unafahamu Bakhresa anauza bidhaa zake karibu nchi zote za East Africa, na kote huko kaajiri watu, au mapato yake yanayotoka kwenye nchi nyingine tofauti na Tanzania hayahesabiki kwenye utajiri wake
 
Mo mjanja mjanja....mtu wa mitandao kama mwijaku....mzee Bakhs huwezi mkuta kwenye mitandao amevaa kibukta na kikombe cha kahawa never
Halafu kwanini watu wanamlinganisha Mo na Mzee Said Bakhresa mwenyewe, inatakiwa wamlinganishe Mo Dewji na Yusuf Bakhresa hao ndio rika moja, Mzee Bakhresa anatakiwa alinganishwe na baba yake Mo Mzee Gulam Dewji ndio rika moja
 
Taja viwanda alivyonavyo Mo ili uiweke hiyo hesabu yako ya 20k na Bakhresa na hayo mambo mengine.....weka ufafanuzi mzuri tukuelewe
Siwezi kutaja viwanda kimoja kimoja viwanda viko 40.
Hizi taarifa zipo kwenye website ya MeTL group na Bakhresa group.
Na pia ni statistics ambazo unaweza zipata website za serekali.
Mkuu unafahamu Bakhresa anauza bidhaa zake karibu nchi zote za East Africa, na kote huko kaajiri watu, au mapato yake yanayotoka kwenye nchi nyingine tofauti na Tanzania hayahesabiki kwenye utajiri wake
Dewji pia anafanya hivyo.
Unajua kuwa Dewji anabiashara tofauti 126?
 
Siwezi kutaja viwanda kimoja kimoja viwanda viko 40.
Hizi taarifa zipo kwenye website ya MeTL group na Bakhresa group.
Na pia ni statistics ambazo unaweza zipata website za serekali.

Dewji pia anafanya hivyo.
Unajua kuwa Dewji anabiashara tofauti 126?
Si ndio mtaje ni bidhaa zipi za Mo zinazouza zaidi kuliko za Bakhresa kuanzia hapa Tanzania mpaka hizo nchi jirani, mnatuambia habari za mashamba na viwanda kwani Bakhresa hana hivyo vitu, mtuambie bidhaa za Mo ni hizi na hizi na zinauza zaidi kuliko za Bakhresa
 
Sasa hizi zitakuwa safari au washangiliaji wa mpira?
Kweli ukifika kwa wazungu utajua utofauti wetu na wao
Huwezi kusikia hata mtu anapiga kelele wakati anaongea na simu, let alone mziki au soka
Kwenye seat zimeandikwa kabisa heshimu wenzako kwa kuongea taratibu
Mabasi mengi yana WiFi na una enjoy na kuuchapa bila bughudha
Yaani safari za Africa ni jahanam
 
Hakuna tena kukosa mechi au vipindi vya AzamTv ukiwa safarini.

Baada ya AzamTv kuleta ving’amuzi ambavyo unaweza ukafunga kwenye magari, mabasi ya mikoani yamechangamkia fursa.

Mabasi kama Mallesa, Achimwene na Shabiby yashafungwa na wateja wana enjoy.

Tumpe mzee Bakhressa maua yake ayanuse angali hai.

View attachment 2818129
TTCL wangefunga pia kwa ajili ya WiFi wangepata faida kiasi gani? au ni kutokujua fursa ziko wapi?
 
Si ndio mtaje ni bidhaa zipi za Mo zinazouza zaidi kuliko za Bakhresa kuanzia hapa Tanzania mpaka hizo nchi jirani, mnatuambia habari za mashamba na viwanda kwani Bakhresa hana hivyo vitu, mtuambie bidhaa za Mo ni hizi na hizi na zinauza zaidi kuliko za Bakhresa
Duuuh, sioni hiyo sababu maana inakuwa kama mabishano wakati bidhaa zinaonekana au nenda kwenye duka la mangi uhesabu bidhaa.
Alafu isitoshe kama unaona Bakhresa yupo juu ya Dewji ni sawa pia.
 
Back
Top Bottom