Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

Kwa hiyi unaforce?kama ni tajiri kwanini hatokei kwenye jarida la kutathmini utajiri,hata kwenye top 15 hayupo wakati mo dewji yupo kwenye top ten miaka nenda rudi.
 
Kwa hiyi unaforce?kama ni tajiri kwanini hatokei kwenye jarida la kutathmini utajiri,hata kwenye top 15 hayupo wakati mo dewji yupo kwenye top ten miaka nenda rudi.

Sijaforce,kwani forbes ndio wanatoa utajiri au wanaandika orodha tu!!!


Kwanza unajua kwamba sio matajiri wote wako forbes!!!!vipo vigezo vya kuorodheshwa huko,lakini hiyo haimaanishi hakuna wababe kuliko hao walioandikwa huko.
 
Tafsiri sahihi ya secta binafsi inayochangia maendeleo.
 
Kwenye bidhaa za kila aina ni uongo.... Anauza kondomu!!??
 
MO owns 75pc ya metl
Yeah lakini Mo Dewji hakuutafuta bali kaurithi na kuuendeleza yeye pamoja na ndugu zake toka kwa baba yao Mzee Gulam Dewji, hata utajiri wa Mzee Said Bakhresa asilimia kubwa unasimamiwa na kuendeshwa na Yusuf Bakhresa pamoja na ndugu zake ambao wameurithi, kwahiyo kwa kifupi Mo Dewji na Yusuf Bakhresa siyo self made walizaliwa na kuukuta utajiri kwa baba zao hivyo baba zao ndio self made
 
Urithi ni baada ya mtu kufa, wewe baba yako masikini unawaonea wengine wivu
Hayo ya wivu yametoka wapi kwani wewe baba yangu unamfahamu, hayo mambo ya urithi ni mpaka mtu afe yako kwa ngozi nyeusi tu ndio maana utajiri wa mtu mweusi huwa haudumu vizazi vingi, kwa ngozi nyeupe mtoto anaanza kurithi na kusimamia utajiri wa mzazi wake mapema ili hata mzazi akifa mtoto tayari anakuwa na experience ya kuendesha na kuendeleza biashara za mzazi wake
 
Anayelipa mshahara mkubwa ndio tajiri
 
Labda mabasi ya huko Mtwara. Dar-Arusha Nani ataangalia filamu za kishamba? Sijui Sultan sijui Ottoman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…