Siku hizi UTI sugu na Gono vimejificha kwa mabinti wale warembo sana, kuweni makini

Mwanaume unaambukizwaje UTI sugu? Kisayansi yakadiriwa kuwa ni 3% ya wanaume ndiyo wanaweza kuambukizwa UTI. Mara nyingi ni kwa wanawake kwa kuwa wana mrija mfupi wa mkojo (urethra).
 
Mwanaume unaambukizwaje UTI sugu? Kisayansi yakadiriwa kuwa ni 3% ya wanaume ndiyo wanaweza kuambukizwa UTI. Mara nyingi ninkwa wanawake kwa kuwa wana mrija mfupi wa mkojo (urethra).
Ni kweli mkuu, wanawake hawawezi kuambukiza wanaume UTI kwa kujamiiana...
 
Watumie vitunguu saumu...

Vinakata shombo la samaki...

Kumeza...
Vitunguu swaumu ni kama antibiotics ya asili ukivitumia ukeni vinaua wale normal flora ambao wanasaidia kupambana na bacteria adui , kwa hyo apo utakuwa umefungulia njia yakupata mafangasi na lazima harufu izidi mara dufu. Japo vitunguu swaumu ni tiba nzuri ila usivitumie kama hauna uhakika kama BP yako kama ipo sawa .
 
Mimi naona vinaua labda ukiwa unaviweka huko chini lkn Kwa kumeza sidhni km inahrbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…