Siku hizi Wadada wanaenda kupiga picha na mabegi Airport

[emoji23][emoji23] hao ndo maslay queen bhanaa,,,. Halafu watoe hao wa sambusa na buza. Hawana hayo mambo kabisa, wao waambie vijora na vigodoro bs, huo muda wa kwenda airport wanautoa wapi???. Watu km wakina uwoya ndiyo wa kuwaweka hapo,, maana wanatafuta pesa kupitia miili yao, ni lazima wapendeze haswaaa Ili kuuzika sokoni.
 
Hivi wanaruhusu kupiga picha ndan ya ndege ata kama usafir????
 
Waanze kulipia sasa kumbe wakipita hapa tunajua wanasafiri kumbe ndio hivyo,Halafu muwaambie basi wawe hata na Timingi na ndege zinazoruka na Kutua nilikuwa najua wanawahi mapema kumbe ndio hivi.....
 
Kuna siku nilikuta wadada flani hivi wa mjini nikajua wanasafiri kumbe wanapiga picha za kuuzia sura
 
Kuna clip nliona,kn dada anasema nyumba kwa mwezi analipia mln 7
Na blahblah kibao
Ukimuangalia tu anaonekana ubongo wake hauko sawa

Ova
Ahaahaa cyo nyumba tu anadai kwamba yeye Huwa anaogeshwa anamlipa anaemwogesha 20mil.!jinsia yoyote alafu hataki kwenda kwao singida anajipanga kwanza siku akienda awagawie walau 5 mil @wanakijiji wote....
 
Mkuu nchi ina watu wa hovyo kila kada cyo vijana2 hta wazee wa hovyo nao wapo, eb fikiria pisi tunayokula kinondoni kwa wahaya kwa buku4 Harmonize yeye kainunulia Range 2 kwa mpigo wajinga walikuepo na wataendelea kuepo
 
Ahaahaa cyo nyumba tu anadai kwamba yeye Huwa anaogeshwa anamlipa anaemwogesha 20mil.!jinsia yoyote alafu hataki kwenda kwao singida anajipanga kwanza siku akienda awagawie walau 5 mil @wanakijiji wote....
Duh

Ova
 
Wanaitangaza Tanzania,huu ndio utalii wa ndani si lazima kwenda Loliondo tu, wacha watu wapige picha airport,watu tumeona watu wakipiga picha airport mbalimbali duniani sembuse hii ya kwetu?
 
Hivi wanaruhusu kupiga picha ndan ya ndege ata kama usafir????
Mkuu kwani wewe hujawahi panda ndege kwa maana hilo swali anatakiwa aulize ambaye anapanda akina Kimbinyiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…