Siku hizi Wadada wanaenda kupiga picha na mabegi Airport

Ila wanawake wana mambo jamani duh!!! Mara vigodoro,, mara mawigi, mara vipini puani, mara vikuku, mara visendo vya manyoya mara kucha feki, kope feki hawajaridhika wameamua kuja na hii style ya picha fake duuuuuuh
 
Sasa kama unaishi Masaki au Mikocheni wafanyaje mkuu badala ya kuenjoy maishaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Wallah nimecheka mnooo
Ndio tunaowaona huku IG na snapchat na wanapendeza sio kawaida
Pole lakini😁😁😁
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama inawasaidia maisga yaende fresh ni akili ya kazi
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…