Siku nilipogundua mwanamke wangu ana wanaume wanne tofauti: Sitoamini tena mwanamke

Dunga ila umakin mkuu umeme upo na bei ya kuunganishwa ni pesa kidgo tu
 
Sijapata mkuu mtu sahihi maana Ata salio bado la kuunga kuunga linatosha kwa "msimamo wa usiku mmoja(one night stand) "
Dunga ila umakin mkuu umeme upo na bei ya kuunganishwa ni pesa kidgo tu
 
Sijapata mkuu mtu sahihi maana Ata salio bado la kuunga kuunga linatosha kwa "msimamo wa usiku mmoja(one night stand) "
Mkuu salio litapatikana tu akitokea wakukuvumilia na mashida zako ishi nae
 
Alooo unataka ule peke yako halafu akikuomba pesa unampanga ? Ngumu sana mkuu wanawake wana tamaa, tafuta wa size yako akubali maisha yako na hali yako kwa ujumla,,,, vinginevyo utagongewa tu,,,,Dunia haina huruma
 
Dah mi nafikiri hakuna binadamu asiye na tamaa
Alooo unataka ule peke yako halafu akikuomba pesa unampanga ? Ngumu sana mkuu wanawake wana tamaa, tafuta wa size yako akubali maisha yako na hali yako kwa ujumla,,,, vinginevyo utagongewa tu,,,,Dunia haina huruma
 
Mimi hua naona namna nzuri ya kuishi na mwanamke ni kumpuuza tu yani hakuna kumzingatia kwa 100%. Maisha ya kisasa vitu vingi vinapatikana kwa urahisi, tupeane nafasi ila tuchukue tahadhari maana kuishi kwenye usahihi haiwezekani tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…