Siku Nilipoiona Simu Kwa Mara ya Kwanza Odeon Cinema 1955 au 1956 au Nyuma ya Hapo Kidogo Sijavuka Miaka 4

Nimemaanisha kuwa kuna Hazina (Watu) nyingi/wengi walikuwepo na mambo mengi ya kale lakini kwa sasa hawapo tena ila kati ya baadhi ambao wamebaki mpaka sasa wewe ni mmojawapo Al akhiy...!

Nilifikiri unazungumzia wewe ulivyoitengeneza simu kumbe kuiona tu. Na unafikiri tukio hilo ni la umuhimu hadi kutuelezea? Au ulipata faida gani ulipoiona simu?
 
Complete nonsense and a pretext to drop names of mostly dead all-Muslim circle of friends, family and acquaintances. What a strange old man! It would appear like he's never ever once in his life had a friend or acquaintance of a religious persuasion other than Islam.
 
Huu ni uwongo na umetunga tu story kwa sababu unazozijua wewe. Kwa mtoto wa miaka 4 kuona simu kwa mara ya kwanza siyo jambo la ajabu sana hadi kulikumbuka uzeeni. Mtoto wa umri huu vitu vingi sana katika mazingira yake ni vipya machoni, na hawezi kukumbuka kila kitu alichokiona mara ya kwanza hadi hadi liwe jambo la ajabu akilini.
 
Ambacho nimesikia na naendelea ku prove right ni suala la funga ya wenzetu waislamu.

Funga hii ya Ramadhan au vinginevyo nasikia ni moja ya tiba nzuri mno ukiacha imani ya kidini.

Wapo baadhi ya watu ambao kwa hakika nawafahamu lkn licha ya uzee wao bado wana nguvu za kutosha. Yupo mzee mmoja alikuwa anafanya kazi TANESCO tangu mm nipo Chekechea lkn since then yaani kila nikikutana nae najiona mm ndo nazeeka.... lkn ukweli Mzee huyo ni mtu wa kufunga sana!!
 
My observations;
Shortly umekosa adabu; kuwa anonymous haina maana ukose adabu, unadhani mzee huyo anadanganya kwa sababu amfurahishe nani humu? Pengine humfuatilii huyu mzee lkn ukweli ni kwamba ni kati ta wazee credible sana humu JF!
 
My observations;
Shortly umekosa adabu; kuwa anonymous haina maana ukose adabu, unadhani mzee huyo anadanganya kwa sababu amfurahishe nani humu? Pengine humfuatilii huyu mzee lkn ukweli ni kwamba ni kati ta wazee credible sana humu JF!
Muulize huyo Mzee, kule St Joseph shule ya Kanisa, katikati ya jiji, alikokuwa anasoma miaka mingi, hakufahamiana au kujenga urafiki na mtu yeyote asiye Muislamu? Hata Baniani?
 
My observations;
Shortly umekosa adabu; kuwa anonymous haina maana ukose adabu, unadhani mzee huyo anadanganya kwa sababu amfurahishe nani humu? Pengine humfuatilii huyu mzee lkn ukweli ni kwamba ni kati ta wazee credible sana humu JF!


Isitoshe kila mtu Mungu kamuumba na vipawa vyake, kumbukumbu ni moja ya vipawa hivyo na pia vipawa hivyo kwa watu wengine huanza kuonekana katika umri mdogo sana.

Huyu mzee Mohammed kadhihirisha kipawa cha kumbukumbu na sishangai anapodai kwamba kwenye umri huo aliweza kukumbuka simu za aina hiyo katika call box kwani kumbukumbu nyingi za kihistoria anazoziweka humu ni ishara tosha kudhihirisha how his finest mind is.
 
Asante mhenga MUNGU aendelee kukujalia afya njema
 
Kumbe ndio kwanza una miaka 70, nikadhani umri umeenda zaidi ya hapo
Nakutakia maisha marefu zaidi mzee wetu
 
Truly, a sensible baboon no longer can it be a baboon rather it can change to become a human being.

Ni Kipi kimekusibu kuandika kwa kizungu na kutoa kejeli na kashfa zenye ushabiki wa kidini??
Wapi hapo kuna ushabiki wa kidini?
 
Mzee kadhihirisha kuwa ana "selective memory": hakumbuki kuwa na ukaribu na mtu yeyote mwenye imani tofauti na yake tokea utotoni licha ya kusoma shule za Kanisa. Halafu mtoto wa miaka 4 alyekulia katika mazingira ya Kariakoo-Dar es Salaam kukumbuka kuona simu kwa mara ya kwanza, tena akiwa uzeeni, ni jambo la ajabu sana. Mimi naamini hii ni fiksi tu.
 
Njabu...
Mimi nitaeleza niyajuayo na kuyakumbuka wako wengi wananiamini.

Lakini ikiwa wewe utaniona mimi muongo hiyo ni bahati mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…