Siku niliyomuona Nyerere live nilisikitika sana

Hakuamini walinzi aliamini fimbo yake ilikuwa inampa warning ishara fulani ikiwa kijani nenda kiwa nyekundu usiendee .
Hahahaha.. mkuu unamaanisha fimbo yake ilikuwa na mataa mawili, yani kijani na nyekundu? Afu hivi ile fimbo yake iliendaga wapi au alizikwa nayo?
 


Sasa unasikitika nini??!!--- wewe hujui muundo wa huo msafara yalikuwa maamuzi yake mwenyewe!!-- sema tu msafara huo ulikuwa ukipita mjini kama ingalikuwa unapita kule kwake Butiama angaliweza hata kutumia Punda badala ya gari.,, wewe unamjua Nyerere!!?---- halafu kwanini unasikitika juu ya huo msafara wake kuwa mdogo halafu hapohapo unamuita Mzalendo??!!
 
Ile fimbo pamoja na baadhi ya vitu vyake muhimu vipo makumbusho Butiama. Ukipata nafasi fanya ukatalii Butiama utaviona.
Ok mkuu, panapo majaaliwa siku 1 nitaenda kufanya utalii wa ndani katika kaburi la mzee wetu.
 
Alipofariki tu ilizima nahaikufanya kazi tena
Duh kweli ile fimbo ilikuwa ya miujiza. Nasikia aliendaga kuzingua Kigoma wazee wa kazi wakamsahawisha fimbo yake makusudi, basi ile yupo ndan ya ndege akakumbuka kuwa kasahau fimbo Kigoma, alipotaka kurudi wakati wa mawasiliano wazee wakamwambia watampelekea fimbo yake Dar. Nyerere akacheka akiamini hakuna mtu anaeweza kuibeba ile fimbo isipokuwa yeye mwenyew, ila wazee wakasisitiza kuwa atatumiwa tu fimbo yake asiwe na hofu. Basi ile Nyerere anafika kwake ikulu ya Dar kuingia ndani anaikuta juu ya meza. Alitaka kutoka nduki sema walinzi wakamwambia mzee usikimbie acha sisi tutawasiliana na wale wazee kwa hatua zaidi. Baadae wazee wakamtoa uoga mambo yakawa shwari.
 
Hadithi yako inatufundisha uzalendo.
Ila niambie ukweli ulikuwa na miaka mingapi ulipouona msafara wa JK mbona umetuibia hapo?🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…