Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #41
Duh mkuu kweli ww bado mgeni hapa duniani.Na nlianza kupiga kura kwa kikwete
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh mkuu kweli ww bado mgeni hapa duniani.Na nlianza kupiga kura kwa kikwete
[emoji1787]Tuma salamu kwa watu watatu
Nilikuw between 10 and 15. Sasa hapo nishakurahisisha kuujua umri niliokuwa nao kwa njia ya ku guessHadithi yako inatufundisha uzalendo.
Ila niambie ukweli ulikuwa na miaka mingapi ulipouona msafara wa JK mbona umetuibia hapo?🤣
Asante DudumiziNilikuw between 10 and 15. Sasa hapo nishakurahisisha kuujua umri niliokuwa nao kwa njia ya ku guess
Unataka na viongozi wa sasa wawe na uzalendo huo?Inatufundisha uzalendo wa kweli aliokuwa nao baba yetu wa taifa mwl JKN.
Ya ni kweli nyakati zinabadilika mkuu. Ila huu ulinzi wa sasa unaweza hisi raisi na yeye anaongozwa aende vitani 😀😀😂😂Unataka na viongozi wa sasa wawe na uzalendo huo?
Nakubaliana na uzalendo ila unaopendekeza ni uzembe.
Zingatia nyakati
Mimi mwenyewe nishawahi oanana na Nyerere nyumbani kwake msasani
Sema wakati alikuwa ashaataafu
Nakumbuka niliendaga na mtoto fulani wa baba yake alikuwa bodyguard wake
Ova
Sijuiila hakunaaliyeweza kumshinda huyo mzee nchi nzima kifo chake ni cha,sumu so fimbo ilimwonyesha asiende huko alipokwenda ila alienda kwa lazima mwanakulifind mwanakuliget basi akazimwa full na ndio mwisho wa mzee wa taifa aki nalimpendaga huyo .Duh kweli ile fimbo ilikuwa ya miujiza. Nasikia aliendaga kuzingua Kigoma wazee wa kazi wakamsahawisha fimbo yake makusudi, basi ile yupo ndan ya ndege akakumbuka kuwa kasahau fimbo Kigoma, alipotaka kurudi wakati wa mawasiliano wazee wakamwambia watampelekea fimbo yake Dar. Nyerere akacheka akiamini hakuna mtu anaeweza kuibeba ile fimbo isipokuwa yeye mwenyew, ila wazee wakasisitiza kuwa atatumiwa tu fimbo yake asiwe na hofu. Basi ile Nyerere anafika kwake ikulu ya Dar kuingia ndani anaikuta juu ya meza. Alitaka kutoka nduki sema walinzi wakamwambia mzee usikimbie acha sisi tutawasiliana na wale wazee kwa hatua zaidi. Baadae wazee wakamtoa uoga mambo yakawa shwari.
Ya Nyerere alikuwa kiongozi mzuri sana mwenye maono. Kwann magufuli angekudatisha mkuu?Sijuiila hakunaaliyeweza kumshinda huyo mzee nchi nzima kifo chake ni cha,sumu so fimbo ilimwonyesha asiende huko alipokwenda ila alienda kwa lazima mwanakulifind mwanakuliget basi akazimwa full na ndio mwisho wa mzee wa taifa aki nalimpendaga huyo .
Hakuna Rais ambaye simpendi unajuakwanini kwasababu moja tu hajaiweka nchi hatarini kwa kivita tupo huru hata kama huna mia unaenjoy nchi kwa raha zako.
Ila jpm angeendelea kuongoza walahi kwa mfumo huo wake ningedanja meaning ningekufa kwa presha walahi
Kwani jpm alikuwa analindwaje mkuuLahisi wetu sasa hivi analindwa na mabinduki na mahedikopta kila mahali.
Sana tu,nakumbuka siku ile tulipiga chai na alimpokea vizuri sana jamaaNa hapo lazma kuna story za Nyerere ulizipata kupitia huyo jamaa [emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]
Brother ukiandika kitabu nitanunua maana nitazijua story za watoto wa town, hustles na zile za kimafia enzi hizo kabla hatujadandia magari ya mkaa kuingia mjini[emoji16][emoji16]
Hiki kichwa kina madini sana na visa mikasa mbalimbaliNa hapo lazma kuna story za Nyerere ulizipata kupitia huyo jamaa [emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]
Brother ukiandika kitabu nitanunua maana nitazijua story za watoto wa town, hustles na zile za kimafia enzi hizo kabla hatujadandia magari ya mkaa kuingia mjini[emoji16][emoji16]
Nisimulie matukio Mimi nikuandikie MkuuHiki kichwa kina madini sana na visa mikasa mbalimbali
Tatizo wengine hatuna kipaji cha kuandika tungeandika watu mnge burudika na kuelimika [emoji1]
Ova
Nlizaliwa ocean Road mzee [emoji1]Na hapo lazma kuna story za Nyerere ulizipata kupitia huyo jamaa [emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]
Brother ukiandika kitabu nitanunua maana nitazijua story za watoto wa town, hustles na zile za kimafia enzi hizo kabla hatujadandia magari ya mkaa kuingia mjini[emoji16][emoji16]
Aise itabidi iwe hivyoNisimulie matukio Mimi nikuandikie Mkuu
Yapo mengi tu mkuu.. Kama kuna mungine ashawahi kukutana mwamba huyu katika mazingira ya kawaida kama yale niliyomuona nayo mimi, aje atusimulie kidogo ili tujifunze uzalendo wa kweli kupitia kwake.
Hiyo picha kamili iko wapi??Nyerere nilimuona ila nilikuwa sijajua kama ni yeye kwa vile alikuwa ndani gari. Ila baada ya mjomba wangu kuniambia kuwa ndio Nyerere mwenyewe nikapata picha kamili.