Siku niliyomuona Nyerere live nilisikitika sana

Siku niliyomuona Nyerere live nilisikitika sana

Hadithi yako inatufundisha uzalendo.
Ila niambie ukweli ulikuwa na miaka mingapi ulipouona msafara wa JK mbona umetuibia hapo?🤣
Nilikuw between 10 and 15. Sasa hapo nishakurahisisha kuujua umri niliokuwa nao kwa njia ya ku guess
 
Unataka na viongozi wa sasa wawe na uzalendo huo?

Nakubaliana na uzalendo ila unaopendekeza ni uzembe.

Zingatia nyakati
Ya ni kweli nyakati zinabadilika mkuu. Ila huu ulinzi wa sasa unaweza hisi raisi na yeye anaongozwa aende vitani 😀😀😂😂
 
Mimi mwenyewe nishawahi oanana na Nyerere nyumbani kwake msasani
Sema wakati alikuwa ashaataafu
Nakumbuka niliendaga na mtoto fulani wa baba yake alikuwa bodyguard wake

Ova

Na hapo lazma kuna story za Nyerere ulizipata kupitia huyo jamaa 😁😁🙌🙌🙌

Brother ukiandika kitabu nitanunua maana nitazijua story za watoto wa town, hustles na zile za kimafia enzi hizo kabla hatujadandia magari ya mkaa kuingia mjini😁😁
 
Duh kweli ile fimbo ilikuwa ya miujiza. Nasikia aliendaga kuzingua Kigoma wazee wa kazi wakamsahawisha fimbo yake makusudi, basi ile yupo ndan ya ndege akakumbuka kuwa kasahau fimbo Kigoma, alipotaka kurudi wakati wa mawasiliano wazee wakamwambia watampelekea fimbo yake Dar. Nyerere akacheka akiamini hakuna mtu anaeweza kuibeba ile fimbo isipokuwa yeye mwenyew, ila wazee wakasisitiza kuwa atatumiwa tu fimbo yake asiwe na hofu. Basi ile Nyerere anafika kwake ikulu ya Dar kuingia ndani anaikuta juu ya meza. Alitaka kutoka nduki sema walinzi wakamwambia mzee usikimbie acha sisi tutawasiliana na wale wazee kwa hatua zaidi. Baadae wazee wakamtoa uoga mambo yakawa shwari.
Sijuiila hakunaaliyeweza kumshinda huyo mzee nchi nzima kifo chake ni cha,sumu so fimbo ilimwonyesha asiende huko alipokwenda ila alienda kwa lazima mwanakulifind mwanakuliget basi akazimwa full na ndio mwisho wa mzee wa taifa aki nalimpendaga huyo .
Hakuna Rais ambaye simpendi unajuakwanini kwasababu moja tu hajaiweka nchi hatarini kwa kivita tupo huru hata kama huna mia unaenjoy nchi kwa raha zako.
Ila jpm angeendelea kuongoza walahi kwa mfumo huo wake ningedanja meaning ningekufa kwa presha walahi
 
Ya Nyerere alikuwa kiongozi mzuri sana mwenye maono. Kwann magufuli angekudatisha mkuu?
 
Na hapo lazma kuna story za Nyerere ulizipata kupitia huyo jamaa [emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]

Brother ukiandika kitabu nitanunua maana nitazijua story za watoto wa town, hustles na zile za kimafia enzi hizo kabla hatujadandia magari ya mkaa kuingia mjini[emoji16][emoji16]
Sana tu,nakumbuka siku ile tulipiga chai na alimpokea vizuri sana jamaa
Nyerere alikuwa na maelewano mazuri na baba yake
Mpaka leo ile picha kwenda kwake,kulivyokuwa ndani mule kupo kichwani mwangu

Ova
 
Na hapo lazma kuna story za Nyerere ulizipata kupitia huyo jamaa [emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]

Brother ukiandika kitabu nitanunua maana nitazijua story za watoto wa town, hustles na zile za kimafia enzi hizo kabla hatujadandia magari ya mkaa kuingia mjini[emoji16][emoji16]
Hiki kichwa kina madini sana na visa mikasa mbalimbali
Tatizo wengine hatuna kipaji cha kuandika tungeandika watu mnge burudika na kuelimika [emoji1]

Ova
 
Hiki kichwa kina madini sana na visa mikasa mbalimbali
Tatizo wengine hatuna kipaji cha kuandika tungeandika watu mnge burudika na kuelimika [emoji1]

Ova
Nisimulie matukio Mimi nikuandikie Mkuu
 
Na hapo lazma kuna story za Nyerere ulizipata kupitia huyo jamaa [emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]

Brother ukiandika kitabu nitanunua maana nitazijua story za watoto wa town, hustles na zile za kimafia enzi hizo kabla hatujadandia magari ya mkaa kuingia mjini[emoji16][emoji16]
Nlizaliwa ocean Road mzee [emoji1]
Fanya uchunguzi wote waliyozaliwa ocean Road wakoje [emoji1]

Ova
 
. Kama kuna mungine ashawahi kukutana mwamba huyu katika mazingira ya kawaida kama yale niliyomuona nayo mimi, aje atusimulie kidogo ili tujifunze uzalendo wa kweli kupitia kwake.
Yapo mengi tu mkuu.

Lakini nikuulize swali. Hii mada imeanza anzaje hadi ikaingia kichwani mwako?

Swala la uzalendo na kuwapenda na kuwatakia mema waTanzania na nchi yao, hakika Mwalimu Nyerere ni mfano usiokuwa na mashaka juu yake.
Wapo waTanzania wengi, zaidi ya hao uliowataja hapo ambao ni/walikuwa wazalendo wa nchi hii.

Kwa bahati mbaya sana hatuna utaratibu wa utambuzi wa watu hawa na kuwapa heshima stahiki. Ninaelewa kulikuwepo na tuzo mbalimbali zilizowahi kutolewa kwa watu wenye sifa za kulitumikia taifa na kuonyesha uzalendo wao. Sielewi utaratibu huo ulikomea wapi, maana siku hizi hakuna anayejikujishughulisha na jambo hili.
 
Uzalendo wa nyooko.

Ni vile huyo aliishi zama za ujima ambapo wahuni wengi hawakuwa wamejanjaruka kupata technolojia nzuri ya kupambana na serikali.

Leo hii jidai mzalendo, anza kuwapambania masikini kwa kuzuia rushwa, kuzuia madawa ya kulevya, kuzuia na kupambana na ushoga, kuzuia uhalifu&ujambazi, kuzuia uwizi wa resources za nchi, then chukua escort ya kitoto mtaani uzulule kama hawajakutungua within the minutes,(referred tukio la japan).

Mnautafsiri uzalendo kwa sababu za kitoto sana,yaan mnataka kiongozi wa nchi aishi maishi ya chini na kimasikini kama ninyi ili mujuwe kweli anawapenda? WaTz kweli upumbavu hauishi, elimu mliyoletewa iwakomboe kutoka kwa ujinga imekuwa kazi bure?

Kiongoz yeyote ambaye ni mkuu wa nchi ni lazima aishi maisha mazuri bila kusahau ulinzi mkubwa utakao muepusha na ubaya wa wahuni, mkuu wa nchi si sawa na balozi wa nyumba 10 kwamba apendwe na kila mtu, huyo huwa na maadui wengi sana, ni vile watu ambao hamjabahatika kuujua uongozi ama kuugusa utajiri ni ngumu kuelewa hili jambo.

We are not the same, acha kila mtu aishi kulingana na level yake, kamwe tusiforce kufanana.

Na huu ndio ukweli mchungu
 
1995 Late Nyerere alikuwa Rais mstaafu. Kwa Rais mstaafu msafara huo ni kawaida. Ingawa ni kweli misafara ya awamu kuanzia ya tatu ni kama tuko vitani.
Mstaafu Mkapa(rip) na Mwinyi wote wanatembea na gari mbili na pikipiki moja, mstaafu mmoja ndio kidogooo anakimsafara.
 
Back
Top Bottom