Siku niliyomuona Nyerere live nilisikitika sana

Mwalimu Nyerere alikuwa ni mtu wa kipekee sana. Ilikuwa ni bahati nchi yetu kumpata kiongozi kama yule kwa wakati huo.
Tunahitaji kiongozi mwingine mwenye kuiweka Tanzania na wananchi wake mbele ya mambo mengine yote wakati huu.
 
Hiki kichwa kina madini sana na visa mikasa mbalimbali
Tatizo wengine hatuna kipaji cha kuandika tungeandika watu mnge burudika na kuelimika [emoji1]

Ova
Sasa mbona hapa umeandika vizuri tu na umeeleweka. Shusha vitu mkuu watu tuburudike. [emoji3][emoji3]
 
Sasa mbona hapa umeandika vizuri tu na umeeleweka. Shusha vitu mkuu watu tuburudike. [emoji3][emoji3]
Mimi siyo mwandishi mzuri..ila siku nkitulia nanikiwa mjini ntajaribu andika....nahisi andiko linaweza vuta hisia nyingi za watu

Ova
 
Sasa mbona hapa umeandika vizuri tu na umeeleweka. Shusha vitu mkuu watu tuburudike. [emoji3][emoji3]
Na mimi nipo kona hapa, nangoja mkuu ashushe vitu tuburudike πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwa sasa wazalendo hamna nchi hii, kila mtu anapigania tumbo lake na familia yake.
Ni kweli wazalendo hakuna sahvi
Labda warioba....
Unajua mtu mzalendo kumgundua pia ni namna anavyo ishi....wazalendo
Hawanaga mambo ya anasa anasa ujue...
Mfano kuna wakati marehem horace kolimba alikuwa anaishi ada Estate ule mtaa wa dr Andrew zamani....
Life style ilikuwa kawaida sana hakukuwa na mambo ya ufahari
Ona pia life style ya Nyerere ni kawaida tu...
Sasa Nyerere angetaka kuwa fisadi si angetisha duniani
Sema alikuwa anaishi kwa kuridhika

Ova
 
Duh aisee mzee amefariki bila hata kuandika kitabu. Inasikitisha sana.
 
Hii ni kiswahili ya wapi
 
Ya Kolimba alikuwa ni miongoni mwa wazalendo wa nchi hii, wala haujakosea. Ndo maana wapigania tumbo wakammaliza mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…